Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,431
- 5,336
Nilijifunza tokea siku ile aseeKosa la kwanza ni kuchagua Kiswahili ilionesha kabisa una wasi wasi na kimombo chako halafu ukilinganisha na shirika(MDH).
Ungekomaa na Kiingereza tu hata kama ni broken, hapo ikionesha ujasiri wa kuthubutu ambapo ungeweza kuimprove siku za mbeleni ukiwa unapractise