Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
Wenye RECEIVED TUJUANE, mkando wa peresuperesu mpk Mwakani hiyoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaa kwa niaba ya nani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwaniaba ya.....Nawasilisha
Vizuri sana mkuu, pisi kali unazipata wapi hapo!!!Nimebahatika kuhudhiria saili kadhaa msaada wa job description umekuwa mdogo sana, hapa naungana nawew ndugu yangu. Sasahiv hawa jamaa wanataka uelewe vzr kada husika, madesa in deep, na ujue hiyo kazi inafanyikaje lkn pia uwe na speed ya kuandika, uelewa wa swali na usahihi wake. Nilichojifunza psrs hawanaga ugenius ukiupeleka ugenius wa kishule unaweza usitoboe kwasababu, Mtu aliefanya saili nyingi za aina hiyo anafaida yake, lkn pia mtu anaefanya kazi hiyo anafaida yake na aliesoma madesa pia lkn kuna bahati na kujua, unaweza ukajibu vzr mpk ukaongeza karatasi lkn yakija matokeo una56 wao wamechukua kuanzia 60. Au uko below kbs ya 50. Naongea haya from my last week experience kuna usaili mmoja tulifanya na ule usaili ulihusu coz moja tu ambayo ni yakwetu tu , kwahiyo sura nyingi zilizokuwepo pale zikawa sio mpya kbs mbaya zaidi vipanga walikuwa wengi sana watu wenye Gpa zao mjini kipindi hicho tunasoma mtu mpk unajiuliza nitatoboa kweli mbona hawa jamaa wote wako vzr na nawajua since chuo[emoji848][emoji848][emoji848] na wamejipanga kwaajir hiyo tu wako very smart na mbaya zaidi unakuta wengine wako na degree nyingine yaani masters wanasoma, lkn me nikutoe hofu ndugu yangu ukikuta mmeitwa usaili na ukakutanishwa na vipanga wa style hiyo usiogope nenda kila mtu anabahati yake na saili zao hazinaga ujuaji too much, wanaotoboa ni watu wa kawaida na oral ile nakumbuka tulikuwa watu wa kawaida sana, Kwahiyo kikubwa ni uthubutu Mungu ametupangia mazuri mengi sana tusiache kuthubutu kadri tunavyoweza. Naamini ukijiandaa vizuri haswa katika baraka za muumba unatoboa kbs, Hapa nazungumzia Written tu.
Lakin pia kunacwatubwashafanya saili nyingi sana ukienda usailo jichanganye msikae nyinyi tu mliosoma SAUT pekee yenu, jichanganye na wenye uzoefu na wenye madini mbalimbali ikiwezekana badilishen contact hiyo itakusaidia wewe kupata update za saili na uzoefu lkn pia ikitokea wewe au yeye kapata ushajenga connection na watoto wako bdae wasiangaike sana kutafuta field(natania[emoji3]) Lkn pia kubwa zaidi utajifunza namna alivyojibu mpk akafaulu kwa kiwango hicho. Pia unaweza pata shemeji kunakuwaga na pisikali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mpk unajiuliza si wanipe tu hii kazi na huyu mdada wa tanga niondoke[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]natania tu.
Lkn kubwa ndio hilo lingine ukiaply anza kujiandaa najua ni ngumu lkn jitahidi walau siku2vau siku isipite bila ya kupitia hayo madesa, hii itakusaidia sana siku zikikaribia unakuwa huna mzigo mkubwa sana, ukiuzima moto ni nadra sana labda uwe na bahati. Kuna ngumi inaitwa PERESUPERESU YA ORAL[emoji3][emoji3][emoji3] ukipita written kwa bahati au kugelezea bila kujua kada husika vzr.(natania[emoji3])
Lkn pia tusikate tamaa hata iweje tuendelee kumuomba mungu afungue milango ya ridhiki zetu kotekote gvt na private hatuwezi jua wapi tutatua km jiwe gizani likitupwa.
"Kijana wa Hovyo" kwenye ubora wake[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Vizuri sana mkuu, pisi kali unazipata wapi hapo!!!
Kwaniaba ya moneytalkhahahaa kwa niaba ya nani
Kijana unasubiri taasisi ipiWorldCup immeisha System Admin afanye kitu... Placement section imepoooza wakat sio kawaida
ICT technician multiple choice yalikua 40 ya kuelezea 4
Ninayo Moja nazisubiriaWenye RECEIVED TUJUANE, mkando wa peresuperesu mpk Mwakani hiyoo
Pia unaweza pata shemeji kunakuwaga na pisikali![]()
![]()
Mpk unajiuliza si wanipe tu hii kazi na huyu mdada wa tanga niondoke![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kama si mchana usiku au kesho placement zitaporomoka lazima taasisi zipokee watumishi waliokamili kwa ajiri ya kuanza ajira rasmi mwakaniWorldCup immeisha System Admin afanye kitu... Placement section imepoooza wakat sio kawaida
Wadada wazuri sio wengi wanafiki Oral wanaishia written hukohuko.. nakumbuka written yangu nilikutana na pisi Kali sana ili kwenye Oral zikabaki chache sanaNaunga mkono hoja mkuu, kwenye hizi saili huwa kuna wadada wazuri aisee, yaani we acha tu.
Yaani kk sio poa, Aiseh za motoo[emoji3]Naunga mkono hoja mkuu, kwenye hizi saili huwa kuna wadada wazuri aisee, yaani we acha tu.
[emoji3][emoji3][emoji3]yeah chache sana za oral, Written ndio babalaoWadada wazuri sio wengi wanafiki Oral wanaishia written hukohuko.. nakumbuka written yangu nilikutana na pisi Kali sana ili kwenye Oral zikabaki chache sana
Tuendelee kujifukiza MkuuNinayo Moja nazisubiria
Tuendelee kujifukiza Mkuu
Kumbe watu mnaendelea na kujifikiza guys🤔🤔[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Tusubir tu mwaka mpya na Placement tu hapaKama PSRS wataamua kuachia zaga la placements mwezi huu kwa saili zote za October, November na December basi itakuwa poa sana, mwaka mpya utaanza na wafanyakazi wapya
50Mtihani ulikuwa wa dakika ngap?.