Wanjax jr
JF-Expert Member
- Jun 4, 2020
- 491
- 1,261
Navyofikiri, hata Kama swali linataka point 3 litakuwa na marks sawa na maswali mengine kweny oral ..hii ipo hata kweny written interview unakutana na swali linataka point 3 Kati ya manne ...Mkuu Mwifwa naomba utuwekee hapa mchanganuo wa marks za maswali ya Oral.. maana Huwa yanakuwa matano, nataka kufahamu kama yanafanana alama au vp..? maana utakuta Kuna swali unaulizwa wanataka points 5, lingine wanataka 3 na lingine unaweza kuulizwa definition au explain kitu Fulani.
Pia Jumla ya marks za Oral zinakuwa ngapi..?
We unapitiatia sana miongozo Yao bila shaka utanitoa tongotongo hapa.
Kikubwa ni kujitahidi kujibu mule mule