Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu Mwifwa naomba utuwekee hapa mchanganuo wa marks za maswali ya Oral.. maana Huwa yanakuwa matano, nataka kufahamu kama yanafanana alama au vp..? maana utakuta Kuna swali unaulizwa wanataka points 5, lingine wanataka 3 na lingine unaweza kuulizwa definition au explain kitu Fulani.
Pia Jumla ya marks za Oral zinakuwa ngapi..?
We unapitiatia sana miongozo Yao bila shaka utanitoa tongotongo hapa.
Navyofikiri, hata Kama swali linataka point 3 litakuwa na marks sawa na maswali mengine kweny oral ..hii ipo hata kweny written interview unakutana na swali linataka point 3 Kati ya manne ...


Kikubwa ni kujitahidi kujibu mule mule
 
kama ni pepa ya leo iþakuwa ni Custom officer II hiyo. Swali la kwanza lilikuwa na hizo multiple choice.....unazungushia duara jibu/majibu sahihi. Maswali mengine matatu yalikuwa ya kujieleza isipokuwa moja lilikuwa la hesabu.
Huwa wanaruhusu calculator hao utumishi kwenye sahili zao ?
 
Nipo hoi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sijui ata nisemeje. Imagine swali la hesabu ndo nlifundishwa jana na ndo nlikuwa na idea nalo the rest malaika wa zamu atatenda muujiza[emoji23]
Pole ,utatoboa lakini ,jipe matumaini
 
Naunga mkono hoja mkuu, kwenye hizi saili huwa kuna wadada wazuri aisee, yaani we acha tu.
Kwamba ujobless hauchagui uzuri au ubaya/kawaida unapita na yeyote[emoji3][emoji3]

Maana majobless wa uhakika asilimia kubwa ndio tunaosongamana kwenye mikando huko..
 
Kama PSRS wataamua kuachia zaga la placements mwezi huu kwa saili zote za October, November na December basi itakuwa poa sana, mwaka mpya utaanza na wafanyakazi wapya
Kwa trend na msongamano ulivyo, sahau kuhusu placements za November, December. Kwa mbaali labda za October tena mwanzoni.

Zingine hadi mwakani.
 
Hii imetokea mwana busy kubeti kaja kustuliwa alhamisi usiku Ijumaa kakurupuka huyooo dom akijua ni kama kawaida kumbe kapangiwa dar paper.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ilikuwa mkando gani huo?
 
Huwa wanaruhusu calculator hao utumishi kwenye sahili zao ?
Naam, wanaruhusu..mimi sikujua hilo. Nimefika ndiyo naona raia wana calculator kila kona..wachache tu ndiyo hatukuwa nazo. Mbaya zaidi jamaa akatangaza kuwa hawaruhusu kuazimana calculator.

So ikabidi nifanye swali bila ya kutumia calculator...calculations za kodi hizo. Dada mmoja kanunua IST...mpigie kodi anazotakiwa kulipa.
 
Back
Top Bottom