Navyofikiri, hata Kama swali linataka point 3 litakuwa na marks sawa na maswali mengine kweny oral ..hii ipo hata kweny written interview unakutana na swali linataka point 3 Kati ya manne ...Mkuu Mwifwa naomba utuwekee hapa mchanganuo wa marks za maswali ya Oral.. maana Huwa yanakuwa matano, nataka kufahamu kama yanafanana alama au vp..? maana utakuta Kuna swali unaulizwa wanataka points 5, lingine wanataka 3 na lingine unaweza kuulizwa definition au explain kitu Fulani.
Pia Jumla ya marks za Oral zinakuwa ngapi..?
We unapitiatia sana miongozo Yao bila shaka utanitoa tongotongo hapa.
Huwa wanaruhusu calculator hao utumishi kwenye sahili zao ?kama ni pepa ya leo iþakuwa ni Custom officer II hiyo. Swali la kwanza lilikuwa na hizo multiple choice.....unazungushia duara jibu/majibu sahihi. Maswali mengine matatu yalikuwa ya kujieleza isipokuwa moja lilikuwa la hesabu.
hahahaa mkuu balozi aliniambia inasaidiaKumbe watu mnaendelea na kujifikiza guys🤔🤔
Pole ,utatoboa lakini ,jipe matumainiNipo hoi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sijui ata nisemeje. Imagine swali la hesabu ndo nlifundishwa jana na ndo nlikuwa na idea nalo the rest malaika wa zamu atatenda muujiza[emoji23]
Tumefika huku[emoji23][emoji23]Wadada wazuri sio wengi wanafiki Oral wanaishia written hukohuko.. nakumbuka written yangu nilikutana na pisi Kali sana ili kwenye Oral zikabaki chache sana
AmenPole ,utatoboa lakini ,jipe matumaini
Hii imetokea mwana busy kubeti kaja kustuliwa alhamisi usiku Ijumaa kakurupuka huyooo dom akijua ni kama kawaida kumbe kapangiwa dar paper.Mara paap unakuja kushtuka watu washachukua barua wakati uko busy na pira biriani huko Qatar[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwamba ujobless hauchagui uzuri au ubaya/kawaida unapita na yeyote[emoji3][emoji3]Naunga mkono hoja mkuu, kwenye hizi saili huwa kuna wadada wazuri aisee, yaani we acha tu.
Kwa trend na msongamano ulivyo, sahau kuhusu placements za November, December. Kwa mbaali labda za October tena mwanzoni.Kama PSRS wataamua kuachia zaga la placements mwezi huu kwa saili zote za October, November na December basi itakuwa poa sana, mwaka mpya utaanza na wafanyakazi wapya
Hawajui kama Mtaalamu wa PGO cute with brain huwa unafika oral[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tumefika huku[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii imetokea mwana busy kubeti kaja kustuliwa alhamisi usiku Ijumaa kakurupuka huyooo dom akijua ni kama kawaida kumbe kapangiwa dar paper.
HahahahahahahaHii imetokea mwana busy kubeti kaja kustuliwa alhamisi usiku Ijumaa kakurupuka huyooo dom akijua ni kama kawaida kumbe kapangiwa dar paper.
Hapana mimi ni wale wale aliowasema Yakunle [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawajui kama Mtaalamu wa PGO cute with brain huwa unafika oral[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi pgo ni niniHawajui kama Mtaalamu wa PGO cute with brain huwa unafika oral[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
kijeshi ni police general orders,but kwa mantiki ya hpa jukwaani labda inamaana nyingine mkuuHivi pgo ni nini
Nimekusoma sana humu, nimegundua una Akili sanaHapana mimi ni wale wale aliowasema Yakunle [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naam, wanaruhusu..mimi sikujua hilo. Nimefika ndiyo naona raia wana calculator kila kona..wachache tu ndiyo hatukuwa nazo. Mbaya zaidi jamaa akatangaza kuwa hawaruhusu kuazimana calculator.Huwa wanaruhusu calculator hao utumishi kwenye sahili zao ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Principle of confidentiality!