Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Great thinkers naomba niwaulize swali tafadhali.

Hivi inawezekana mtu aliyeajiriwa tayari na majeshi yetu ya ulinzi na usalama akaomba nafasi za kazi ambazo zinatangazwa na PSRS kama kada nyingine wanavyofanya?.


Sent using Jamii Forums mobile app
Unaomba ukipata unaandika barua ya kuacha kazi ndani ya saa 24. Wengi wameacha nami nawajua na tunao makazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…