Skywalker00
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 329
- 1,017
Akiipata hio kazi kama hamna allowances ndo atajua kwamba TGS E sio kitu cha kufurahia.Ila mkuu huo bado mdogo huo,,,, Labd upate na Allowance
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiipata hio kazi kama hamna allowances ndo atajua kwamba TGS E sio kitu cha kufurahia.Ila mkuu huo bado mdogo huo,,,, Labd upate na Allowance
Akiipata hio kazi kama hamna allowances ndo atajua kwamba TGS E sio kitu cha kufurahia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kbsa mara ya kwanza kuipata hiyo nilijiona najenga ghorofa ila baada ya mwezi tu Naon sio kitu, majukumu yakawa mengi na sometime hautoboi mweziAkiipata hio kazi kama hamna allowances ndo atajua kwamba TGS E sio kitu cha kufurahia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kwa kuanzia sio mbaya kuliko kukosa kabsa🙏🏿🙏🏿 but lower your Expectation!Kbsa mara ya kwanza kuipata hiyo nilijiona najenga ghorofa ila baada ya mwezi tu Naon sio kitu, majukumu yakawa mengi na sometime hautoboi mwezi
Sio zote, nyingine utakuta wana allowance ya extra duty(overtime) tu na hata haizidi 300k...cha msingi we omba Mungu upelekwe sehem yenye manufaa, taasisi zingine njaa tu.Hv kwa hizi taasisi za kiserikali au wakala wa Serikali si karibia zote zinatoa Allowance..?
Kweli kabisa hio haitoshi kabsa mkuuKbsa mara ya kwanza kuipata hiyo nilijiona najenga ghorofa ila baada ya mwezi tu Naon sio kitu, majukumu yakawa mengi na sometime hautoboi mwezi
Hongera mkuu kwa kupata utulivu wa moyoEnzi nasubiria placement nilikua nikiona hii kitu moyo unapasuka.
Siku ulikuja kuona jina lako kwa pdf ulisikiaje mkuu..Enzi nasubiria placement nilikua nikiona hii kitu moyo unapasuka.
Tupe maana halisi ya uzalendo mkuu.Tatizo letu tunafikilia sana mishahara bila kufikilia tunaenda kuleta au kuongeza kitu gani Kwenye kampuni au taasis ipende kazi yako kwanza kuwa mzalendo na nchi yako
Of course I was happy ingawa sikufurahia sana sababu mkononi nilikua na kibarua cha watu ambacho kilikua na pesa ya maana nilitamani at least pdf itoke a week later ili nimalizie kimeo but ndio ikawa hivyo.Siku ulikuja kuona jina lako kwa pdf ulisikiaje mkuu..
Tuishi kwenye "kila mtu ana uhuru wa maamuzi yake", ila binafsi sifurahishwi na watu kutoweka kisa wamelamba Asali, hata kama majukumu yanakuwa mengi huwezi kukosa hata dk 10 za kuingia humu.Tatizo la umu ndani Mtu akilamba Asali , anapotea anacha-nge jina na I'D Kabisa
mfano Mdogo Wizy so kwanini msiwe mnarudi hapa ku-share hints na wenzenu kuhusu kutoboa utumishi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Of course I was happy ingawa sikufurahia sana sababu mkononi nilikua na kibarua cha watu ambacho kilikua na pesa ya maana nilitamani at least pdf itoke a week later ili nimalizie kimeo but ndio ikawa hivyo.
Ila kafuraha lazima kawepo. A funny thing nimepata placement ndio naletewa mchongo mwengine salary 1.96M per month plus allowances. Shetani ana majaribu balaa ili mradi tu nijichanganye
Ni mchongo wa muda mrefu halafu unahitaji kua introduced to some of their partners katika hatua za mwanzoni so nikikaa mwezi mmoja tu then itabidi waanza orientation upya kwa mtu mwengine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
umege huo mchongo hata kwa mwezi 1 kabla unsubiri mwajiri akamilishe taratibu za ajira
Kuna jobless alifanya utafiti akagundua kuwa mara nyingi zinatoka siku hiyo, ila hilo halizuii kutoka siku yeyoteHizi habari za placements jumanne nani aliwaambia, kwani Jana si ilikuwa j4 jamani..?
Sawa mkuu, basi fuata huyu mwajiri mwingine penye pensheniNi mchongo wa muda mrefu halafu unahitaji kua introduced to some of their partners katika hatua za mwanzoni so nikikaa mwezi mmoja tu then itabidi waanza orientation upya kwa mtu mwengine
Ila most ni usikuNionavyo placement za sasa hazina muda maalumu hata mchana wanafyatua tu