Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Siku ulikuja kuona jina lako kwa pdf ulisikiaje mkuu..
Of course I was happy ingawa sikufurahia sana sababu mkononi nilikua na kibarua cha watu ambacho kilikua na pesa ya maana nilitamani at least pdf itoke a week later ili nimalizie kimeo but ndio ikawa hivyo.

Ila kafuraha lazima kawepo. A funny thing nimepata placement ndio naletewa mchongo mwengine salary 1.96M per month plus allowances. Shetani ana majaribu balaa ili mradi tu nijichanganye
 
Tatizo la umu ndani Mtu akilamba Asali , anapotea anacha-nge jina na I'D Kabisa

mfano Mdogo Wizy so kwanini msiwe mnarudi hapa ku-share hints na wenzenu kuhusu kutoboa utumishi.
Tuishi kwenye "kila mtu ana uhuru wa maamuzi yake", ila binafsi sifurahishwi na watu kutoweka kisa wamelamba Asali, hata kama majukumu yanakuwa mengi huwezi kukosa hata dk 10 za kuingia humu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

umege huo mchongo hata kwa mwezi 1 kabla unsubiri mwajiri akamilishe taratibu za ajira
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

umege huo mchongo hata kwa mwezi 1 kabla unsubiri mwajiri akamilishe taratibu za ajira
Ni mchongo wa muda mrefu halafu unahitaji kua introduced to some of their partners katika hatua za mwanzoni so nikikaa mwezi mmoja tu then itabidi waanza orientation upya kwa mtu mwengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…