Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kinara wa magari alikuwa wizy, allitaja sana Volkswagen akidai ndio hazi yake. Mambo ya subaru anaachia wengine[emoji3][emoji3]
 
Tusubiri mwakani tenaaa yani Bongo ukisomaa kichwani unawaza kuajiriwa t[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] Mentality ya ovyoo kabisaa sema ndo hivyo wazee hawana mitaji ya kutupaaa ngoja tuendelee kupambana
Wengine tumezaliwa Town kwenye familia maskini hatuna uridhi unamaliza shule huna hata elfu kumi ya kujikimu kuajiriwa ndo njia pekee ya kutufanya tutumize ndoto zetu ni vigumu kujiajiri wakati hata kula bado hujimudu
 
Yaah mkuu kuja topic inaitwaga Vicious Circle of Poverty[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani hata kama ulitakiwa kutoboa unajikuta maskini
 
Mwaka huu nilifanya application nyingi(Wizara, Tamisemi na PSRS) nikaishia kuambulia mikando.

Nimejaribu sio sawa kutojaribu, ni hatua kubwa, nafocus mwakani tena nikijaliwa pumzi
Tatizo mnataka salary za M1 kuendelea.

Start from the bottom, get recognized and then boom here come the money.

skills,Reputation, experience before money.

Kama ipo IPO tu Wala hakuna wa kukubania.
 
Tatizo mnataka salary za M1 kuendelea.

Start from the bottom, get recognized and then boom here come the money.

skills,Reputation, experience before money.

Kama ipo IPO tu Wala hakuna wa kukubania.
Unataka kumaanisha nini kwa comment namna hii?

Nikukunbushe tu, kazi hizi nyingi tunazojadili hapa ni entry level.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…