Kalikenye_91
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 217
- 589
Asante sana mkuu, kauli mbiu hakuna kukata tamaaKaribu sana jobless, usikate tamaa siku yako ya kutoboa ipo mbioni kukufikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuu, kauli mbiu hakuna kukata tamaaKaribu sana jobless, usikate tamaa siku yako ya kutoboa ipo mbioni kukufikia
Hapa tusubiri kuanzia mwakani.Dah hali sio nzr au ndo mwisho w mwaka
Amen. Na iwe kama unenavyo. Ila oral 2 nilishafanya ila hazikuwa na matokeo chanya.Karibu sana Mkuu. Nakutabiria Oral yako yakwanza itakupa na kazi moja kwa moja.
Usichoke, endelea kupambana huku ukijifunza kupitia mapito yako.
Kinara wa magari alikuwa wizy, allitaja sana Volkswagen akidai ndio hazi yake. Mambo ya subaru anaachia wengine[emoji3][emoji3]Hahahaha! Niliona watu humu wameshaanza kushauriana gari gani inafaa kuwateka wadada bila kujali itahitaji service ya kiasi gani au inakunywa mafuta kiasi gani.
meck pro, Ahmet na wizy sipati picha mishahara yao ya miezi mitatu ya kwanza wataifanyia nini, inawezekana wakafanya starehe za kutosha kuuaga ujobless.
Subaru mnyama sana lakini upate new model ya turbo hatari sanaKinara wa magari alikuwa wizy, allitaja sana Volkswagen akidai ndio hazi yake. Mambo ya subaru anaachia wengine[emoji3][emoji3]
Karibu sana mzee
Tusubiri mwakani tenaaa yani Bongo ukisomaa kichwani unawaza kuajiriwa t[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] Mentality ya ovyoo kabisaa sema ndo hivyo wazee hawana mitaji ya kutupaaa ngoja tuendelee kupambanaJobless mmekimbia uzi au hakuna hoja mpya ?Au ndo mnaomboleza kutoweka kwa wizy
Wengine tumezaliwa Town kwenye familia maskini hatuna uridhi unamaliza shule huna hata elfu kumi ya kujikimu kuajiriwa ndo njia pekee ya kutufanya tutumize ndoto zetu ni vigumu kujiajiri wakati hata kula bado hujimuduTusubiri mwakani tenaaa yani Bongo ukisomaa kichwani unawaza kuajiriwa t[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] Mentality ya ovyoo kabisaa sema ndo hivyo wazee hawana mitaji ya kutupaaa ngoja tuendelee kupambana
Yaah mkuu kuja topic inaitwaga Vicious Circle of Poverty[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani hata kama ulitakiwa kutoboa unajikuta maskiniWengine tumezaliwa Town kwenye familia maskini hatuna uridhi unamaliza shule huna hata elfu kumi ya kujikimu kuajiriwa ndo njia pekee ya kutufanya tutumize ndoto zetu ni vigumu kujiajiri wakati hata kula bado hujimudu
Vibarua kwa wahindi vunalemaza make unalipwa kidogo,ili kesho urudi make huwezi kusave chochoteYaah mkuu kuja topic inaitwaga Vicious Circle of Poverty[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani hata kama ulitakiwa kutoboa unajikuta maskini
Tatizo mnataka salary za M1 kuendelea.Mwaka huu nilifanya application nyingi(Wizara, Tamisemi na PSRS) nikaishia kuambulia mikando.
Nimejaribu sio sawa kutojaribu, ni hatua kubwa, nafocus mwakani tena nikijaliwa pumzi
Unataka kumaanisha nini kwa comment namna hii?Tatizo mnataka salary za M1 kuendelea.
Start from the bottom, get recognized and then boom here come the money.
skills,Reputation, experience before money.
Kama ipo IPO tu Wala hakuna wa kukubania.
Hahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo japo alikuwa analia Ila waliona ana some content kichwani.. Ni vizuri kupeana ridhiki namna hii. Naona Sasa Yuko getho kwake anakaanga samaki na broiler [emoji23][emoji23]
Hahahahah daaahKinara wa magari alikuwa wizy, allitaja sana Volkswagen akidai ndio hazi yake. Mambo ya subaru anaachia wengine[emoji3][emoji3]
watu wako frustrated sana na hali hii ya kimaishaGreat thinkers tuendeleze contents ya huu uzi.
Sidhani kama matusi ni njia nzuri ya kutatua duku duku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli maisha magumu ila matusi sio njia sahihi ya kuya solve.watu wako frustrated sana na hali hii ya kimaisha
yaah kaka