Prolific26
JF-Expert Member
- Jun 14, 2022
- 498
- 934
Msamehe tu mkuu,huyo jamaa ni kawaida yake kupanic pasipo sababu ,mara nyingi sana huwa ana panic bila ata sababu ya msingi,kuna shida mahali,nadhani age pia ni factorUshoga uko wapi hapo.
Mimi ni kaka Yako pengine baba Yako.
Punguza mihemko.
Take it easy lil bro.
Kote huko endapo nikipata nafasi, salary yangu lazima iwe 1M+ kabla ya makato.Tatizo mnataka salary za M1 kuendelea.
Start from the bottom, get recognized and then boom here come the money.
skills,Reputation, experience before money.
Kama ipo IPO tu Wala hakuna wa kukubania.
100% mahitaji yatakua yamebadilika, mazingira tu ya semina na wekishopu, extra duty,... Habari za wakandaji punde tu zinasahaulika.
Amen. Na iwe kama unenavyo. Ila oral 2 nilishafanya ila hazikuwa na matokeo chanya.
Kinara wa magari alikuwa wizy, allitaja sana Volkswagen akidai ndio hazi yake. Mambo ya subaru anaachia wengine[emoji3][emoji3]
Huyo ni mzembe,hiyo nafasi ishapewa mtu mwingine. Halafu nijuavyo kwa watu wa database kabla ya yote utumishi huwa wanakupigia simu kukujulisha kuwa umepangiwa nafasi kutoka database na pia hilo la barua kutumwa sina uhakika nalo coz barua huwa unafuata mwenyewe Dodoma.Habari jF
Kuna ndugu yangu uwa anatumia S.L.P ya ndugu yetu ambaye yupo mbali kwa sasa.
Sasa kumbe alipata placement ya PSRS kutoka database - Shirika ya Ranching (NARCO)
Barua imetumwa tangu April 2022, jana ndugu yetu ndo kaiona.
Swali langu ni kuna namna anaweza kufatilia na akapata hiyo ajira? Kuna mtu ambaye alishafanikiwa kwenye ishu kama hiyo?
Asanteni.
Huyu kwanza anatakiwa afuatilie kupitia placement za nyuma kuona Kama nafasi hiyo imeshajazwa, pia anatakiwa aende psrs maana hatoajiriwa tena psrs kwa kukataa kazi!!Habari jF
Kuna ndugu yangu uwa anatumia S.L.P ya ndugu yetu ambaye yupo mbali kwa sasa.
Sasa kumbe alipata placement ya PSRS kutoka database - Shirika ya Ranching (NARCO)
Barua imetumwa tangu April 2022, jana ndugu yetu ndo kaiona.
Swali langu ni kuna namna anaweza kufatilia na akapata hiyo ajira? Kuna mtu ambaye alishafanikiwa kwenye ishu kama hiyo?
Asanteni.
Kusema moja kwa moja ni mzembe haipo sahihi, alifanya oral June 2021 wenzake wakaitwa Sept 2021...alikua anafatilia pdf za placement mpaka akachokaHuyo ni mzembe,hiyo nafasi ishapewa mtu mwingine. Halafu nijuavyo kwa watu wa database kabla ya yote utumishi huwa wanakupigia simu kukujulisha kuwa umepangiwa nafasi kutoka database na pia hilo la barua kutumwa sina uhakika nalo coz barua huwa unafuata mwenyewe Dodoma.
Asante kwa ushauriHuyu kwanza anatakiwa afuatilie kupitia placement za nyuma kuona Kama nafasi hiyo imeshajazwa, pia anatakiwa aende psrs maana hatoajiriwa tena psrs kwa kukataa kazi!!
Hapo labda aendelee kuapply kazi zingine tu, maana hata huko database weshamtoa tayari.Kusema moja kwa moja ni mzembe haipo sahihi, alifanya oral June 2021 wenzake wakaitwa Sept 2021...alikua anafatilia pdf za placement mpaka akachoka
Hiyo april 2022 hakupigiwa simu wala email
Utumishi usipofata barua dodoma ndani ya siku 7, uwa wanaituma kwenye S.L.P yako
Aende psrs wanamfuta katika list ya wanaoweza kuajiriwa tena SERIKALINI kwa kukataa kazi....muulize Kama status yake ya APP haina neno lolote, Kama haina neno lolote awahi chapuAsante kwa ushauri
Ngoja nimwambie afanye hivyo.
Nipe mrejesho Kuna Jambo naweza saidiaAende psrs wanamfuta katika list ya wanaoweza kuajiriwa tena SERIKALINI kwa kukataa kazi....muulize Kama status yake ya APP haina neno lolote, Kama haina neno lolote awahi chapu
SawaNipe mrejesho Kuna Jambo naweza saidia
Aipeleke kwa mwajiri, mengine atajuzwa huko.Habari jF
Kuna ndugu yangu uwa anatumia S.L.P ya ndugu yetu ambaye yupo mbali kwa sasa.
Sasa kumbe alipata placement ya PSRS kutoka database - Shirika ya Ranching (NARCO)
Barua imetumwa tangu April 2022, jana ndugu yetu ndo kaiona.
Swali langu ni kuna namna anaweza kufatilia na akapata hiyo ajira? Kuna mtu ambaye alishafanikiwa kwenye ishu kama hiyo?
Asanteni.
Barua huwa inatumwa endapo usipoenda kuichukua. Hili huwa wanalisema kabisa kwenye intro ya placementHuyo ni mzembe,hiyo nafasi ishapewa mtu mwingine. Halafu nijuavyo kwa watu wa database kabla ya yote utumishi huwa wanakupigia simu kukujulisha kuwa umepangiwa nafasi kutoka database na pia hilo la barua kutumwa sina uhakika nalo coz barua huwa unafuata mwenyewe Dodoma.
Asante kwa ushauriAipeleke kwa mwajiri, mengine atajuzwa huko.
Ila kuna kikomo cha muda wa kuwa replaced endapo usipoenda kuripoti, sina access na kanuni za PSRS kwa muda huu ningeconfirm hili.
Kama utakuwa haujapata jibu kwa undani, baadae nitarudi na jibu nzuri.
Ila muda umepita sana, usikute hiyo nafasi ishachukuliwa na mwingine
Status:Nipe mrejesho Kuna Jambo naweza saidia