Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tatizo mnataka salary za M1 kuendelea.

Start from the bottom, get recognized and then boom here come the money.

skills,Reputation, experience before money.

Kama ipo IPO tu Wala hakuna wa kukubania.
Kote huko endapo nikipata nafasi, salary yangu lazima iwe 1M+ kabla ya makato.

Now kijiweni napiga mzigo kikubwa mkono uende kinywani no matter about amount of salary
 
Habari jF

Kuna ndugu yangu uwa anatumia S.L.P ya ndugu yetu ambaye yupo mbali kwa sasa.

Sasa kumbe alipata placement ya PSRS kutoka database - Shirika ya Ranching (NARCO)

Barua imetumwa tangu April 2022, jana ndugu yetu ndo kaiona.

Swali langu ni kuna namna anaweza kufatilia na akapata hiyo ajira? Kuna mtu ambaye alishafanikiwa kwenye ishu kama hiyo?

Asanteni.
 
Huyo ni mzembe,hiyo nafasi ishapewa mtu mwingine. Halafu nijuavyo kwa watu wa database kabla ya yote utumishi huwa wanakupigia simu kukujulisha kuwa umepangiwa nafasi kutoka database na pia hilo la barua kutumwa sina uhakika nalo coz barua huwa unafuata mwenyewe Dodoma.
 
Huyu kwanza anatakiwa afuatilie kupitia placement za nyuma kuona Kama nafasi hiyo imeshajazwa, pia anatakiwa aende psrs maana hatoajiriwa tena psrs kwa kukataa kazi!!
 
Huyo ni mzembe,hiyo nafasi ishapewa mtu mwingine. Halafu nijuavyo kwa watu wa database kabla ya yote utumishi huwa wanakupigia simu kukujulisha kuwa umepangiwa nafasi kutoka database na pia hilo la barua kutumwa sina uhakika nalo coz barua huwa unafuata mwenyewe Dodoma.
Kusema moja kwa moja ni mzembe haipo sahihi, alifanya oral June 2021 wenzake wakaitwa Sept 2021...alikua anafatilia pdf za placement mpaka akachoka

Hiyo april 2022 hakupigiwa simu wala email

Utumishi usipofata barua dodoma ndani ya siku 7, uwa wanaituma kwenye S.L.P yako
 
Hapo labda aendelee kuapply kazi zingine tu, maana hata huko database weshamtoa tayari.
 
Habari jF

Kuna ndugu yangu uwa anatumia S.L.P ya ndugu yetu ambaye yupo mbali kwa sasa.

Sasa kumbe alipata placement ya PSRS kutoka database - Shirika ya Ranching (NARCO)

Barua imetumwa tangu April 2022, jana ndugu yetu ndo kaiona.

Swali langu ni kuna namna anaweza kufatilia na akapata hiyo ajira? Kuna mtu ambaye alishafanikiwa kwenye ishu kama hiyo?

Asanteni.
Aipeleke kwa mwajiri, mengine atajuzwa huko.

Ila kuna kikomo cha muda wa kuwa replaced endapo usipoenda kuripoti, sina access na kanuni za PSRS kwa muda huu ningeconfirm hili.

Kama utakuwa haujapata jibu kwa undani, baadae nitarudi na jibu nzuri.

Ila muda umepita sana, usikute hiyo nafasi ishachukuliwa na mwingine
 
Huyo ni mzembe,hiyo nafasi ishapewa mtu mwingine. Halafu nijuavyo kwa watu wa database kabla ya yote utumishi huwa wanakupigia simu kukujulisha kuwa umepangiwa nafasi kutoka database na pia hilo la barua kutumwa sina uhakika nalo coz barua huwa unafuata mwenyewe Dodoma.
Barua huwa inatumwa endapo usipoenda kuichukua. Hili huwa wanalisema kabisa kwenye intro ya placement
 
Aipeleke kwa mwajiri, mengine atajuzwa huko.

Ila kuna kikomo cha muda wa kuwa replaced endapo usipoenda kuripoti, sina access na kanuni za PSRS kwa muda huu ningeconfirm hili.

Kama utakuwa haujapata jibu kwa undani, baadae nitarudi na jibu nzuri.

Ila muda umepita sana, usikute hiyo nafasi ishachukuliwa na mwingine
Asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom