PSRS huwa wanasema usiache kufuatilia placement na mwaka 2021 walileta kanuni ya kukaa database kwa mwaka mzima.Kusema moja kwa moja ni mzembe haipo sahihi, alifanya oral June 2021 wenzake wakaitwa Sept 2021...alikua anafatilia pdf za placement mpaka akachoka
Hiyo april 2022 hakupigiwa simu wala email
Utumishi usipofata barua dodoma ndani ya siku 7, uwa wanaituma kwenye S.L.P yako
Huyu watakua hawajamfuta aende psrs abebe document zake zote barua etc akajieleze, please awe mpole mwenye logicStatus:
Kwenye app: Selected for NULL
Kwenye web: Selected for Oral
Kwenye Placement: No any placement
Kanuni hii hapa(24).Asante kwa ushauri
Kama kwenye app pakiwa plain yani hamna kitu kwenye status ina maana gani???Aende psrs wanamfuta katika list ya wanaoweza kuajiriwa tena SERIKALINI kwa kukataa kazi....muulize Kama status yake ya APP haina neno lolote, Kama haina neno lolote awahi chapu
Wewe umekuta plain?Kama kwenye app pakiwa plain yani hamna kitu kwenye status ina maana gani???
Achaneni na status jamani kama ukishafika Oral acha kufuatilia status.Wewe umekuta plain?
Kulikua na mada tofauti ya mtu kuitwa kazini akashindwa kuripoti, so mara nyingi Kama wamemfuta status husoma plain, tukauliza Kama ipo plainAchaneni na status jamani kama ukishafika Oral acha kufuatilia status.
Masahihisho:Habarini? Hivi utajuaje kwamba upo kwwenye Kanzidata baada ya oral?
Hapo ndo unatakiwa utumie multiple choice skillsOf course I was happy ingawa sikufurahia sana sababu mkononi nilikua na kibarua cha watu ambacho kilikua na pesa ya maana nilitamani at least pdf itoke a week later ili nimalizie kimeo but ndio ikawa hivyo.
Ila kafuraha lazima kawepo. A funny thing nimepata placement ndio naletewa mchongo mwengine salary 1.96M per month plus allowances. Shetani ana majaribu balaa ili mradi tu nijichanganye
AmenOral inayokuja itakuja na kazi Mkuu.
Je kwenye pdf ya placements za april jina lake lipo?? Au psrs walituma barua kwenye posta yake, bila kuweka jina lake kwnye pdf ya placements kwenye website yao??Habari jF
Kuna ndugu yangu uwa anatumia S.L.P ya ndugu yetu ambaye yupo mbali kwa sasa.
Sasa kumbe alipata placement ya PSRS kutoka database - Shirika ya Ranching (NARCO)
Barua imetumwa tangu April 2022, jana ndugu yetu ndo kaiona.
Swali langu ni kuna namna anaweza kufatilia na akapata hiyo ajira? Kuna mtu ambaye alishafanikiwa kwenye ishu kama hiyo?
Asanteni.
Nao utumishi si wawe wanawapigia watu simu hao wanaopata kupitia data baseJe kwenye pdf ya placements za april jina lake lipo?? Au psrs walituma barua kwenye posta yake, bila kuweka jina lake kwnye pdf ya placements kwenye website yao??
Ngoja jamaa aje aseme hapa kama hakuona jina kwenye pdf af akakuta barua kwenye posta miezi kadhaa mbele, tuone kama psrs kweli walikosea....au ni vile tu jamaa alipitiwa na hakufuatilia pdf za placement nafasi ikampita hivi hivi.Nao utumishi si wawe wanawapigia watu simu hao wanaopata kupitia data base
@little finger njoo utoe clarification kuhusu hili swala.Ngoja jamaa aje aseme hapa kama hakuona jina kwenye pdf af akakuta barua kwenye posta miezi kadhaa mbele, tuone kama psrs kweli walikosea....au ni vile tu jamaa alipitiwa na hakufuatilia pdf za placement nafasi ikampita hivi hivi.
Mkuu angeona jina kwenye PDF si angeenda kuchukua barua, hajui kama PDF ilitoka au lahNgoja jamaa aje aseme hapa kama hakuona jina kwenye pdf af akakuta barua kwenye posta miezi kadhaa mbele, tuone kama psrs kweli walikosea....au ni vile tu jamaa alipitiwa na hakufuatilia pdf za placement nafasi ikampita hivi hivi.
placements za psrs zote ziko kwnye ARCHIVE yao kwenye website, chakufanya mwambie achambue pdf moja baada ya nyingine(jina kwa jina) from sept 2021 mpaka April 2022 aone kama atakuta jina lake, akikuta jina aisee ataambiwa yeye mzembe, asipokuta that means psrs ndio walikosea...af alichokaje jamaa? yani placement inatoka sept 2021 na anajua kabsa database ilikua miezi 6, anashindwa ku view pdf's tu mpaka april? Alizingua hapo kwenye kuchoka.Mkuu angeona jina kwenye PDF si angeenda kuchukua barua, hajui kama PDF ilitoka au lah
Kilichotokea ni kwamba alikuja kukata tamaa ya kuangalia pdf za placement, kumbuka interview kafanya june 2021 na anasema hajawahi kupigiwa simu