Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
PSRS huwa wanasema usiache kufuatilia placement na mwaka 2021 walileta kanuni ya kukaa database kwa mwaka mzima.Kusema moja kwa moja ni mzembe haipo sahihi, alifanya oral June 2021 wenzake wakaitwa Sept 2021...alikua anafatilia pdf za placement mpaka akachoka
Hiyo april 2022 hakupigiwa simu wala email
Utumishi usipofata barua dodoma ndani ya siku 7, uwa wanaituma kwenye S.L.P yako
Yeye kwa kutojua hilo ndio ikawa sababu ya kuacha kufuatilia.
Unasema placement yao ya kwanza ilitoka septemba 2021, muda wake wa kukaa database ulikuwa unaisha septemba 2022 na bahati nzuri akapata nafasi mapema(April 2022)