Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kusema moja kwa moja ni mzembe haipo sahihi, alifanya oral June 2021 wenzake wakaitwa Sept 2021...alikua anafatilia pdf za placement mpaka akachoka

Hiyo april 2022 hakupigiwa simu wala email

Utumishi usipofata barua dodoma ndani ya siku 7, uwa wanaituma kwenye S.L.P yako
PSRS huwa wanasema usiache kufuatilia placement na mwaka 2021 walileta kanuni ya kukaa database kwa mwaka mzima.

Yeye kwa kutojua hilo ndio ikawa sababu ya kuacha kufuatilia.

Unasema placement yao ya kwanza ilitoka septemba 2021, muda wake wa kukaa database ulikuwa unaisha septemba 2022 na bahati nzuri akapata nafasi mapema(April 2022)
 
Asante kwa ushauri
Kanuni hii hapa(24).

Uzito wa kanuni hii ni "kutoripoti bila sababu"

Sasa mimi namshauri aende PSRS akiwa na nyaraka zake zote na awe na hiyo PDF ya placement, akawaeleze hii shida yake, ajitahidi kuwaeleza namna ambavyo hakuweza kuipata barua kwa wakati kupitia anwani aliyoiandika.

Endapo watamuelewa, watamjuza kama nafasi yake ishajazwa au la. Kama imejazwa, automatically hii kanuni ya 24 itamhusu.

Kama ataangukia kwenye hii kanuni, akawaombe wampe nafasi ya kuendelea kuomba kazi zingine zitakazoendelea kutangazwa.

Pia ajaribu kuwaomba kuhusu kukaa database ingawa muda wake ulishaisha.

Kila la kheri kwake.
Screenshot_20221223-084627.jpg
 
Habarini? Hivi utajuaje kwamba upo kwwenye Kanzidata baada ya oral?
Masahihisho:
Kanzidata unaingia baada ya placement kutoka uliyoifanyia oral ila unatakiwa uwe umefaulu hiyo oral na ukakosa nafasi.

Jibu:
Hauwezi kujua kama upo kanzidata, wanaojua ni PSRS tu, wewe utajua kama ulikuwa kanzidata endapo ukipata nafasi na ukaona jina lako kwenye placements.
 
Of course I was happy ingawa sikufurahia sana sababu mkononi nilikua na kibarua cha watu ambacho kilikua na pesa ya maana nilitamani at least pdf itoke a week later ili nimalizie kimeo but ndio ikawa hivyo.

Ila kafuraha lazima kawepo. A funny thing nimepata placement ndio naletewa mchongo mwengine salary 1.96M per month plus allowances. Shetani ana majaribu balaa ili mradi tu nijichanganye
Hapo ndo unatakiwa utumie multiple choice skills

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Habari jF

Kuna ndugu yangu uwa anatumia S.L.P ya ndugu yetu ambaye yupo mbali kwa sasa.

Sasa kumbe alipata placement ya PSRS kutoka database - Shirika ya Ranching (NARCO)

Barua imetumwa tangu April 2022, jana ndugu yetu ndo kaiona.

Swali langu ni kuna namna anaweza kufatilia na akapata hiyo ajira? Kuna mtu ambaye alishafanikiwa kwenye ishu kama hiyo?

Asanteni.
Je kwenye pdf ya placements za april jina lake lipo?? Au psrs walituma barua kwenye posta yake, bila kuweka jina lake kwnye pdf ya placements kwenye website yao??
 
Nao utumishi si wawe wanawapigia watu simu hao wanaopata kupitia data base
Ngoja jamaa aje aseme hapa kama hakuona jina kwenye pdf af akakuta barua kwenye posta miezi kadhaa mbele, tuone kama psrs kweli walikosea....au ni vile tu jamaa alipitiwa na hakufuatilia pdf za placement nafasi ikampita hivi hivi.
 
@little finger njoo utoe clarification kuhusu hili swala.
 
Ngoja jamaa aje aseme hapa kama hakuona jina kwenye pdf af akakuta barua kwenye posta miezi kadhaa mbele, tuone kama psrs kweli walikosea....au ni vile tu jamaa alipitiwa na hakufuatilia pdf za placement nafasi ikampita hivi hivi.
Mkuu angeona jina kwenye PDF si angeenda kuchukua barua, hajui kama PDF ilitoka au lah

Kilichotokea ni kwamba alikuja kukata tamaa ya kuangalia pdf za placement, kumbuka interview kafanya june 2021 na anasema hajawahi kupigiwa simu
 
placements za psrs zote ziko kwnye ARCHIVE yao kwenye website, chakufanya mwambie achambue pdf moja baada ya nyingine(jina kwa jina) from sept 2021 mpaka April 2022 aone kama atakuta jina lake, akikuta jina aisee ataambiwa yeye mzembe, asipokuta that means psrs ndio walikosea...af alichokaje jamaa? yani placement inatoka sept 2021 na anajua kabsa database ilikua miezi 6, anashindwa ku view pdf's tu mpaka april? Alizingua hapo kwenye kuchoka.
 
Back
Top Bottom