Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu angeona jina kwenye PDF si angeenda kuchukua barua, hajui kama PDF ilitoka au lah

Kilichotokea ni kwamba alikuja kukata tamaa ya kuangalia pdf za placement, kumbuka interview kafanya june 2021 na anasema hajawahi kupigiwa simu
And ofcourse siku hzi mara nyingi hawapigi simu ukitoka database...wanaweka tu kwenye pdf wana upload kwenye website yao, so kama ulijichimbia porini huko huna access ya internet ndo inatokea situation kama ya jamaa yako hapo.
 
Hatujui sababu zilizofanya kushindwa kufatilia pdf, naamini sio watu wote wanapata wasaa wa kuangalia pdfs zote.

Lakini uwa tunaandika namba za simu pale, mimi naona ni vyema wangekua wanapiga simu kwa mhusika hasa kama ni from database.
 
Basi kama jina lilikuepo kwenye pdf hata akienda ataambiwa yeye ni mzembe tu ila sio mbaya akienda akijaribu bahati yake, rizki ka ilikua yake ataipata tu.
 
Kuifuata dom, timelimit ni ndani ya wiki toka placement ifanyike/iwe-published, baada ya muda huo kupita, barua hutumwa katika adress unayoitumia/uliyotumia katika barua ya kuomba kazi.

Anyway, aichukue hiyo barua aiwasilishe kwa muajiri, nafasi haiwezi potea kizembe kiasi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…