Skywalker00
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 329
- 1,017
And ofcourse siku hzi mara nyingi hawapigi simu ukitoka database...wanaweka tu kwenye pdf wana upload kwenye website yao, so kama ulijichimbia porini huko huna access ya internet ndo inatokea situation kama ya jamaa yako hapo.Mkuu angeona jina kwenye PDF si angeenda kuchukua barua, hajui kama PDF ilitoka au lah
Kilichotokea ni kwamba alikuja kukata tamaa ya kuangalia pdf za placement, kumbuka interview kafanya june 2021 na anasema hajawahi kupigiwa simu