Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu angeona jina kwenye PDF si angeenda kuchukua barua, hajui kama PDF ilitoka au lah

Kilichotokea ni kwamba alikuja kukata tamaa ya kuangalia pdf za placement, kumbuka interview kafanya june 2021 na anasema hajawahi kupigiwa simu
And ofcourse siku hzi mara nyingi hawapigi simu ukitoka database...wanaweka tu kwenye pdf wana upload kwenye website yao, so kama ulijichimbia porini huko huna access ya internet ndo inatokea situation kama ya jamaa yako hapo.
 
placements za psrs zote ziko kwnye ARCHIVE yao kwenye website, chakufanya mwambie achambue pdf moja baada ya nyingine(jina kwa jina) from sept 2021 mpaka April 2022 aone kama atakuta jina lake, akikuta jina aisee ataambiwa yeye mzembe, asipokuta that means psrs ndio walikosea...af alichokaje jamaa? yani placement inatoka sept 2021 na anajua kabsa database ilikua miezi 6, anashindwa ku view pdf's tu mpaka april? Alizingua hapo kwenye kuchoka.
Hatujui sababu zilizofanya kushindwa kufatilia pdf, naamini sio watu wote wanapata wasaa wa kuangalia pdfs zote.

Lakini uwa tunaandika namba za simu pale, mimi naona ni vyema wangekua wanapiga simu kwa mhusika hasa kama ni from database.
 
Hatujui sababu zilizofanya kushindwa kufatilia pdf, naamini sio watu wote wanapata wasaa wa kuangalia pdfs zote.

Lakini uwa tunaandika namba za simu pale, mimi naona ni vyema wangekua wanapiga simu kwa mhusika hasa kama ni from database.
Basi kama jina lilikuepo kwenye pdf hata akienda ataambiwa yeye ni mzembe tu ila sio mbaya akienda akijaribu bahati yake, rizki ka ilikua yake ataipata tu.
 
Huyo ni mzembe,hiyo nafasi ishapewa mtu mwingine. Halafu nijuavyo kwa watu wa database kabla ya yote utumishi huwa wanakupigia simu kukujulisha kuwa umepangiwa nafasi kutoka database na pia hilo la barua kutumwa sina uhakika nalo coz barua huwa unafuata mwenyewe Dodoma.
Kuifuata dom, timelimit ni ndani ya wiki toka placement ifanyike/iwe-published, baada ya muda huo kupita, barua hutumwa katika adress unayoitumia/uliyotumia katika barua ya kuomba kazi.

Anyway, aichukue hiyo barua aiwasilishe kwa muajiri, nafasi haiwezi potea kizembe kiasi hicho.
 
Nitajie jina la mwajiri(Mamlaka ya Ajira) wake wa hiyo nafasi mimi nikague naona wewe hutaki, na hili na kukataa tamaa ndio limemgharimu huyo jamaa
Amesema NACRO bila shaka yupo kwenye mkeka huu wa terehe 9 April 2022
Screenshot_2022-12-23-16-21-23-097_tz.co.wadau.allpdf.jpg
 
Back
Top Bottom