Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nashukuru kwa ushauri
Yote ya yote achukue hiyo barua akimbie haraka sana makao makuu ya nacro hapo dodoma akaripot... Akiulizwa mbona umechelewa atasema kuwa barua imechelewa kumfikia na akujua kama amepata kazi...adanganye tu kuwa pdf imetoka mwezi wa nne lakin kwa bahat mbaya kipindi hicho smart phone yako ilipotea so ukuona huo mkeka, pia anuani niliyotumia muhusika alisafiri aliporudi ndio akaenda posta akaiona hiyo barua. ( Ila hapa kuwa makini peleleza kwanza psrs hutuma barua posta kwa niia ya kawaida au EMS....kama ems wiki 1 au 2 inakuwa ishakufikia na wanaleta mpaka nyumbani hivyo utaonekana muongo
 
Barua kupitia Posta au EMS lazima iwe na muhuri na tarehe wa sehemu ilipopita.

Atuambie pia kwenye bahasha ya barua tarehe zinasomekaje ili tujue ni lini hiyo barua ilifika kwenye final destination
 
Akumbuke pia psrs wakikutumia barua at the same time wanamtumia mwajiri wako, inshort copies ziko 3, yao wenywe psrs, ya mwajiri, na yake.
 
Huyo jamaa mbona unampambania sana?. Na details zake zote unazo.

Kwa nn usingesema tu kuwa ni wewe mwnyw ndio ulifanya uzembe/ kukata tamaa kufatilia pdfs.
Mbona ni kawaida mkuu kuwa na details za dada/kaka yako

Kuhusu hii ishu kuwa mimi haiwezi kuwa, oral nimefanya mbili tu, 2020 na juzi november 28

Nampambania maana mdada na wadada wengi ni wazito kwenye ufatiliaji
 
Ok mkuu,sikuwa na uhakika kama huwa zinatumwa badala ya kuchukulia pale Dodoma.
 
Kaka Mimi Sasa nashinda jukwaa la mahusiano kule🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…