Daahh, jukwaa la ujenzi wengine tunalipita kwa kufumba macho maana tunaweza kulitembelea mwishowe ikawa kama umemwaga nyanya za mchuuzi barabarani halafu mfukoni huna hata mia, huku mchuuzi akakukaba kudai fidia[emoji3][emoji3][emoji3]Hakii silijui, yaan majukwaa ambayo nmeyatembelea tangu nijiunge jf tofauti na hili ni jukwaa la ujenzi na makazi, biashara na lile la jamii intelligence huku na kwenyewe nliacha maana wanapenda kukandamiza dini yaan topics nyingi ni dini za watu. Nkaona nisije kumkufuru Mungu bure[emoji23]. Ila huku kwenye ajira lazima niingie kila siku, nisipoingia ujue maji yamenifika shingon niko hoi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi ni spectator mmojawapo[emoji23]
Pole pole mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu, potelea pote bora watu wajue, ila nimekumiss sana.
Kuna Mwl wangu fulani nilipokuwa Form 2 aliwahi kusema "Kufaulu mtihani sio kufaulu maisha", kwa kipindi hicho hiyo kauli sikuweza kuielewa ila nilikuja kuielewa tayari nikiwa nishapata elimu ngazi ya degree.Ndugu yetu inabidi aongezee kwenye elimu yake japo kadigirii kwa sheria, inaonekana atapatia sana.
Wasomi mnalalamika sana. Hata hao unaowaona kama wanetoboa wana magumu yao sema hawapigi kelele kama wewe, tujifunze kuwa wavumilivu jamani otherwise inakera sana masikioni, ndiyo maana hata darasa la saba wanatudharau kwa sasa.Kuna Mwl wangu fulani nilipokuwa Form 2 aliwahi kusema "Kufaulu mtihani sio kufaulu maisha", kwa kipindi hicho hiyo kauli sikuweza kuielewa ila nilikuja kuielewa tayari nikiwa nishapata elimu ngazi ya degree.
Mimi ni miongoni mwa Mwanafunzi pekee niliyebahatika kuchaguliwa shule ya Bweni kutoka kijijini kwetu, wengine walitupwa shule ya kata, wengine wakatupwa kitaa(hawakufaulu almaarufu kuPASS kwa enzi hizo).
Cha ajabu sasa ambao hawakuPASS wengi wao ndio wakawa wa kwanza kutoboa life.
Tuliong'ang'ania njia ya kalamu kama njia ya kutoboa ndio tumebaki wa mwisho kwenye hizi races za kutoboa, huku tunabaki kutojua kumbe tulipoteza sana muda ingawa tukipata mirija ya Asali tutaweza kufanya come back ya kibabe kama Mbappe juzi.
Takwimu zinaonesha kuwa, darasa letu Primary tuliofanikiwa kupata degree moja kwa moja ni 2 tu (Mimi na meingine alisoma Ualimu). Wote na degree zetu bado tunapambana kusaka mirija ya Asali, yule wa Education ajira za moja kwa moja tunajua Mwendazake alizisimamisha ,juzi kwenye Interview za Bunge niliona kaitwa kwenye mkando(sijui kama alienda au la).
Kwa kifupi tuliokuwa wa kwanza zamani, sasa tumekuwa wa mwisho. Life halina formula.
Sifikirii kurudi shule, hii degree 1 inanitosha, sasa naisaka degree ya mtaani kwa mgongo wa mrija wa Asali.
Sema me sijaona alipolalamika. Kajisemea hali halisi on his sideWasomi mnalalamika sana. Hata hao unaowaona kama wanetoboa wana magumu yao sema hawapigi kelele kama wewe, tujifunze kuwa wavumilivu jamani otherwise inakera sana masikioni, ndiyo maana hata darasa la saba wanatudharau kwa sasa.
Remember, life is not a straight corridor that you walk unhampered but a maze puzzle where you have to find your lost path every now and then.
Be strong. Acha kulalamika. Kama unapata fursa ya kusoma kasome tu.
Pesa utazikuta na utazipata, zipo kwa watu wewe toa huduma kwa watu ukisaidiwa na ubunifu wa taaluma yako. Amini nakuambia, kwa sasa hauna kipato so unajiona looser, ukweli ni kwamba una kila nyenzo ya kukuwezesha kupata kipato as long as you are alive and healthy.
Hakuna mahala jamaa amelalamika au kulaumu, ameeleza namna mambo yalivo swala la mafanikio na elimu inazid kuwa inversely related kadri miaka inavosonga tofaut kabisa na mambo yalivokua miaka ya nyuma.Wasomi mnalalamika sana. Hata hao unaowaona kama wanetoboa wana magumu yao sema hawapigi kelele kama wewe, tujifunze kuwa wavumilivu jamani otherwise inakera sana masikioni, ndiyo maana hata darasa la saba wanatudharau kwa sasa.
Remember, life is not a straight corridor that you walk unhampered but a maze puzzle where you have to find your lost path every now and then.
Be strong. Acha kulalamika. Kama unapata fursa ya kusoma kasome tu.
Pesa utazikuta na utazipata, zipo kwa watu wewe toa huduma kwa watu ukisaidiwa na ubunifu wa taaluma yako. Amini nakuambia, kwa sasa hauna kipato so unajiona looser, ukweli ni kwamba una kila nyenzo ya kukuwezesha kupata kipato as long as you are alive and healthy.
Yawezekana kweliMsamehe tu mkuu,huyo jamaa ni kawaida yake kupanic pasipo sababu ,mara nyingi sana huwa ana panic bila ata sababu ya msingi,kuna shida mahali,nadhani age pia ni factor
Tarehe 31 usiku wa mwaka MpyaPlacement hadi January
Hahahahaa.Wasomi mnalalamika sana. Hata hao unaowaona kama wanetoboa wana magumu yao sema hawapigi kelele kama wewe, tujifunze kuwa wavumilivu jamani otherwise inakera sana masikioni, ndiyo maana hata darasa la saba wanatudharau kwa sasa.
Remember, life is not a straight corridor that you walk unhampered but a maze puzzle where you have to find your lost path every now and then.
Be strong. Acha kulalamika. Kama unapata fursa ya kusoma kasome tu.
Pesa utazikuta na utazipata, zipo kwa watu wewe toa huduma kwa watu ukisaidiwa na ubunifu wa taaluma yako. Amini nakuambia, kwa sasa hauna kipato so unajiona looser, ukweli ni kwamba una kila nyenzo ya kukuwezesha kupata kipato as long as you are alive and healthy.
Tutumie kifungu gani cha PGO kukazia hapa ili aelewe kuwa sijalalamika[emoji3][emoji3]Sema me sijaona alipolalamika. Kajisemea hali halisi on his side
Ndio hivyo mkuu, labda mzee wa flash atusurprise hizi siku chache zilizosaliaPlacement hadi January
Hapo hadi January mkuuNdio hivyo mkuu, labda mzee wa flash atusurprise hizi siku chache zilizosalia
Asaiv wako sikukuu ukienda chukua barua utaripoti kwa nani ofisi zimefungwaNdio hivyo mkuu, labda mzee wa flash atusurprise hizi siku chache zilizosalia
Jumanne - Friday kazi zina resume kama kawaidaAsaiv wako sikukuu ukienda chukua barua utaripoti kwa nani ofisi zimefungwa
Prok usione nipo kimya ni vile naandaa mkeka wa kufikia huko mjini PMHakii silijui, yaan majukwaa ambayo nmeyatembelea tangu nijiunge jf tofauti na hili ni jukwaa la ujenzi na makazi, biashara na lile la jamii intelligence huku na kwenyewe nliacha maana wanapenda kukandamiza dini yaan topics nyingi ni dini za watu. Nkaona nisije kumkufuru Mungu bure[emoji23]. Ila huku kwenye ajira lazima niingie kila siku, nisipoingia ujue maji yamenifika shingon niko hoi
Asee,...Prok usione nipo kimya ni vile naandaa mkeka wa kufikia huko mjini PM
Hahahaha usiwe mnyonge kakaAsee,...
Naona nataka jambo toka kwa "da' PGO"Hahahaha usiwe mnyonge kaka