Halafu ukute Wizy anawacheck humu[emoji23]itakua kapata placement akaamua afurahie peke yake akaona humu hapamufai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ukute Wizy anawacheck humu[emoji23]itakua kapata placement akaamua afurahie peke yake akaona humu hapamufai
anawazoom tuHalafu ukute Wizy anawacheck humu[emoji23]
Katoweka kama utani vile ila hadi sasa hajarudi.Ila Wizy kama ni kukosa mrija kumempoteza the expectations were too high. I just hope apate courage ya kuendelea na harakati nyingine salama
Maybe hata ile ya TAEC hakufanya oralIla Wizy kama ni kukosa mrija kumempoteza the expectations were too high. I just hope apate courage ya kuendelea na harakati nyingine salama
Let's hope it's for bestKatoweka kama utani vile ila hadi sasa hajarudi.
Tumuombee kila la kheri huko aliko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kariakoo usije, utachoka kabla hujafika. Sema bana leo ndo nmewaza ningekuwa na kazi aisee, Kariakoo hakupitiki na watu wanataka order zao. Yaan badala ya kugongwa na gari ama boda unagongwa na watu ama mizigo[emoji23][emoji23][emoji23]
Arudi tu stronger than beforeMaybe hata ile ya TAEC hakufanya oral
Wizy hawezi fanya hivyo kuna sababu tu ambayo sisi hatuifahamuitakua kapata placement akaamua afurahie peke yake akaona humu hapamufai
Basi atakuwa na ujasiri mkubwa wa kuvumilia maana kuna comment humu zinavutia kutia neno hata kama hautaki[emoji3][emoji3][emoji3]Halafu ukute Wizy anawacheck humu[emoji23]
Kwamba alitudanganya?[emoji3]Maybe hata ile ya TAEC hakufanya oral
Mlamba asali maburungutu hayajaanza kutema?!Let's hope it's for best
Sina hakika, everything is possible.Kwamba alitudanganya?[emoji3]
Barua unaweza chukua hata kesho ila inakuwa na tarehe ya kuripoti kwa mwajiri wako inaweza kuwa hata 15 JanuaryAsaiv wako sikukuu ukienda chukua barua utaripoti kwa nani ofisi zimefungwa
Hahahahaa, utaziweza content zake?Nakuja na id mpya na jina la wizy, tuendeleze gurudumu!!!
Hizi za baba jeni bai bai, kijana wa ovyo, utelezi etc nazijuaHahahahaa, utaziweza content zake?
Kuna Mwl wangu fulani nilipokuwa Form 2 aliwahi kusema "Kufaulu mtihani sio kufaulu maisha", kwa kipindi hicho hiyo kauli sikuweza kuielewa ila nilikuja kuielewa tayari nikiwa nishapata elimu ngazi ya degree.
Mimi ni miongoni mwa Mwanafunzi pekee niliyebahatika kuchaguliwa shule ya Bweni kutoka kijijini kwetu, wengine walitupwa shule ya kata, wengine wakatupwa kitaa(hawakufaulu almaarufu kuPASS kwa enzi hizo).
Cha ajabu sasa ambao hawakuPASS wengi wao ndio wakawa wa kwanza kutoboa life.
Tuliong'ang'ania njia ya kalamu kama njia ya kutoboa ndio tumebaki wa mwisho kwenye hizi races za kutoboa, huku tunabaki kutojua kumbe tulipoteza sana muda ingawa tukipata mirija ya Asali tutaweza kufanya come back ya kibabe kama Mbappe juzi.
Takwimu zinaonesha kuwa, darasa letu Primary tuliofanikiwa kupata degree moja kwa moja ni 2 tu (Mimi na mwingine alisoma Ualimu). Wote na degree zetu bado tunapambana kusaka mirija ya Asali, yule wa Education ajira za moja kwa moja tunajua Mwendazake alizisimamisha ,juzi kwenye Interview za Bunge niliona kaitwa kwenye mkando(sijui kama alienda au la).
Kwa kifupi tuliokuwa wa kwanza zamani, sasa tumekuwa wa mwisho. Life halina formula.
Sifikirii kurudi shule, hii degree 1 inanitosha, sasa naisaka degree ya mtaani kwa mgongo wa mrija wa Asali.
Pole pole mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio hivyo mkuu, labda mzee wa flash atusurprise hizi siku chache zilizosalia
hahahaa miss u too,uko gud lakini