Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kweli dada prok? Ulipata kaplacement utatembelea na huko
 
Uko sahihi ila mtazamo wangu na kulingana na mazingira ya bongo bora utamani kujiimarisha kiuchumi kuliko na kielimu(mf PhD ambazo ndio hazina msaada kabisa).

Matajiri wetu wa kibongo si unawaona walivyo na elimu ya kawaida kabisa na wanarun mambo makubwa.!?

Hapa nilipo nawaza huyu mwanangu endapo nikipata chance ya kumuingiza kwenye mpira(kupata Academy ingawa bongo tupo usingizi wa pono upande wa mpira) namsukumizia huko. Watoto wanatoboa wakiwa na miaka 19 tu, huku kwetu ndio kwanza wanakimbizana na kidato cha 4 ambapo kuna uwezekano wa kufaulu au kufeli.
 
Hahahaha! Kwa mwenendo wa Mzee wa pdf huwa anatabia ya kufanya kazi nje ya muda wa kazi pamoja na sababu nyingine ni ili apate allowances kidogo.


Nadhani hizi weekends na sikukuu au hata jioni na usiku msizichukulie poa, hashindwi kufanya jambo.
Tunawaza hivi huku hatujui kumbe mtu anabugia ulanzi huko kwao Uchagani(kama ni wa KLM lakini)[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi sio km nyie, ntasubir nitafutwe, nyie wanaume mna kazi ngumu sana, mpaka mtafute
Ninyi kazi ngumu zaidi inakuja pale unapojihisi unahitaji ila watu wanakupotezea. Hiyo hatua upande wenu inakuwa na stress sana.

Upande wetu pamoja na kupata ugumu wa kutafuta ila sio kazi kivile
 
Halafu mbona nliambiwa linaitwa jukwaa la mapenzi na mahusiano ila sioni kwenye list[emoji3064], ama mimi JF inataka nitafute kazi kwanza
Nmelipata bana, ngoja nikasome story[emoji23][emoji23]. Mapenzi ni mabaya sana kila mtu analalamika[emoji1787]
 
Ninyi kazi ngumu zaidi inakuja pale unapojihisi unahitaji ila watu wanakupotezea. Hiyo hatua upande wenu inakuwa na stress sana.

Upande wetu pamoja na kupata ugumu wa kutafuta ila sio kazi kivile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nmelipata bana, ngoja nikasome story[emoji23][emoji23]. Mapenzi ni mabaya sana kila mtu analalamika[emoji1787]
Usiache kutupia ka uzi huko tuje tukapigie soga[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…