Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

asaivi sikukuu hakuna placement hadi january tufarijiane tu tukiandaa panadol tukandwe vizuri ila sipati picha nami jina langu likitokea kwenye pdf ntashinda ntalala ntagalala kumuomba mungu
Yaani ile siku nimeona jina langu hata sikulala, acha tu Kuna furaha kuona placement Iko na jina lako, utaitunza iyo pdf kama kiatu Cha dhahabu
 
Mimi sio km nyie, ntasubir nitafutwe, nyie wanaume mna kazi ngumu sana, mpaka mtafute
Alaf Mimi sipende nianze kumfuatilia mtu, naamini mahusiano mazuri yanabidi yaanze kwenye urafiki wa kawaida, hapo kutakuwa na kusomana tabia. Sio umemuona mdada nzuri ukafall in love moja Kwa moja na kuanza kumfuatilia.

Sipendi kumpata mwenza eti Kwa kumtafuta mtandaoni au kutafutiwa na mtu flani. Hivyo nitachagua miongoni mwa marafiki zangu nani awe mwenza wanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hawaminiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…