Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kada ipi ndugu na mliletewaje

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Assistant instructor iAE Ilikua inataka watu waliosoma cozi mchanganyiko

Wametoka mambo ya ualimu jinsi ya kuandaa course/programme curriculum

Mambo ya problem statement

Na mengine ya uelewa tu Kama general intercultural skills and capacities for your duite

Pia difficulties for poor research design

So nimeotea kama mawili tu kwa point za kutunga

Maswali yalikua na nne
 
Okay Sawa hapo Kweli Mungu asaidie angalau uvuke Duuuh na hizi post zenye kada zaidi ya moja zinachallenge

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hv jamani mbona PSRS hawatoi tena MIKEKA ya Usaili.. naona kimya Toka ilivyopita Ile ya Bunge na huu mwaka unaisha.. Sa inafikia kipindi inakubid Kila siku uwe na bando ili uweze kuona kama call for interview imetoka..
 
Watu wapo wanafanya interview mkuu so mpka Leo wamalize maybe wiki ijayo
 
Hv jamani mbona PSRS hawatoi tena MIKEKA ya Usaili.. naona kimya Toka ilivyopita Ile ya Bunge na huu mwaka unaisha.. Sa inafikia kipindi inakubid Kila siku uwe na bando ili uweze kuona kama call for interview imetoka..
Ratiba ya sahili inaisha mwezi huu mwishoni. Mikeka ya sahili ilipotoka kuanzia tarehe 30, August tarehe zilipangwa hadi mwezi huu uishe.

Kwa sasa mikeka maarufu iliyobaki ni MGA & LGA, NAOT, Legal(kama sikosei), TRA, MUHAS n.k, hii ni mikeka mikubwa naitabiria kupangiwa ratiba kuanzia mwezi ujao.
 
Leo nipo kwenye usaili nasikia wadau eti wanasema kazi za TRA zilitangazwa Ilikua kwenye ule mwaka uliopita wa bajeti so baada ya kuiingia mwaka mpya wa bajeti Toka mwezi wa Saba zile nafasi zikafa so mpka mwakani watatangaza Tena watu waombe upya eti ndo maana Imebaki tu Kuwa received na kazi zingine zote zilizokuja kabla yake watu wanaitwa interview
 
Hili suala kuna mdau wangu ni mtumishi wa tra aliwahi kuniambia ila naona kama lina ukweli.yeye aliniambia hizi kazi za tra za juzi zilitangazwa kisiasa tu ila kiuhalisia hakukua na bajeti iliyotengwa kwa ajili yake.
 
Basi itakua kweli hatuna chetu hapo jobless tuendelee kupambana na Huku kwingine tu wakituita sawa tutaenda na huko
 
Back
Top Bottom