Chief Ortambo Ikumenye
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 247
- 503
Asante ndugu yangu inaonekana Duce haikuwa bahati yangu.. ila nimefanikiwa kupata kwingine kuzuri zaidi kuliko huko..aacha cc twende kuna mdau wangu kapata kazi Open University bila hata connection.
wewe kata tamaaa kivyakoo
Mungu ni mkubwa...
Jamani waungwana na wapambanaji, kila la heri.. Jumatatu naenda Mzumbeni kuchukua barua ya ajira