Kwa hiyo wewe nae una akili?Anazingua! ajue wapo watu wenye akili wanafuatilia kila kitu humu.
Majibu yanawekwa kwenye web ya PSRS.. kwanza umekuwa selected au not selected huko kwenye account yako..?Msaada nawezaje kujua nimepata ngapi kwenye paper ?
Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Hv Kuna nn jamani.. wekeni kwanza mikeka ya placements hyoMzee,fanya yako. Usipende kuquote watu kwenye issue za kipuuzi..
www.ajira.go.tzMsaada nawezaje kujua nimepata ngapi kwenye paper ?
Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Umekua my wife nikuambie kwa nini siendi?unapenda sana kulalamika wewe! huna jema hata moja. na ukiitwa kwenye interview huendi! shida yako nini?
Ukiona not selected ndio basi tena mkuu..ila watatoa pdf muda wowote
Asante nimefanikiwawww.ajira.go.tz
Ingia Hapo Fungua taarifa za matokeo kwenye kila kada,angalia kada yako na namba yako uone umepata ngapi mtihani uliofanya.
Naona Madereva wamepita wengi sana.. wamechukuwa Hadi 52..
Ngoja tuone na zilizobakiNi kwa kada zote pass mark ni zaidi ya 50
Udereva -52%
Ict tech II - 66%
Ict Officers II - 52%
Sijajua ni kwa nini hawajachukua ufaulu kuanzia 50% sababu hizo sio nafasi za ukufunzi.
Naona mnazisubiria kwa ham.. Ila hakuna kitu kinaumiza kama kukuta Ile Not selected for Oral interview... DuuuuuhNgoja tuone na zilizobaki
Kweli aisee madereva wameitwa 700 na.... Nadhani wengine watapelekwa taasisi nyingineNaona Madereva wamepita wengi sana.. wamechukuwa Hadi 52..
Wengi watalamba Asali.. kwani TRA wanaotakiwa Wangapi mkuu..?Kweli aisee madereva wameitwa 700 na.... Nadhani wengine watapelekwa taasisi nyingine
Inauma sana, ... Ila inauma zaidi kama uliona pepa rahisi halafu hujaitwa...duhNaona mnazisubiria kwa ham.. Ila hakuna kitu kinaumiza kama kukuta Ile Not selected for Oral interview... Duuuuuh
Sijajua ni kwa nini hawajachukua ufaulu kuanzia 50% sababu hizo sio nafasi za ukufunzi.
Mkifaulu sana wanabeba idadi wanayoona wao inafaaNi kwa kada zote pass mark ni zaidi ya 50
Udereva -52%
Ict tech II - 66%
Ict Officers II - 52%
Sijajua ni kwa nini hawajachukua ufaulu kuanzia 50% sababu hizo sio nafasi za ukufunzi.
Watapunguzwa kwenye Prac na OralKweli aisee madereva wameitwa 700 na.... Nadhani wengine watapelekwa taasisi nyingine
Halafu practical zao ziko na clusters tofautitofauti.. just Imagine wale waliofaulu sana wapo cluster 1.. wanapiga Practical Yao mapema then wanaendelea na majukumu Yao wakisubiri tokeo..So Kuna watu wale wenye marks ndogo watafanya mpaka tar 10 hukoIla hawa matokeo yao yametoka mapema kwa sababu wana practical