Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kulia lia. pambana upate kazi uache kulalamika.Kwa hiyo wewe nae una akili?
Naona uko desperate ndio maana unashinda jf kufuatilia watu usiowajua hata..afu usiichukulie jf too serious mzee..utapasuka bure.
Ndio tayariOya nasikia matokeo tayari.
Noma sana mkuu...mimi nimekandwa.....nina 46.5 nimekosa maksi 3.5 tu kuingia kwenye selected for oral.Hatar watu wamekandwa balaa huko
Customs katika 3900 wametoboa 200 duh
Pole sn mkuuNoma sana mkuu...mimi nimekandwa.....nina 46.5 nimekosa maksi 3.5 tu kuingia kwenye selected for oral.
Ukifanya oral ukikaa kanzi data unapangiwa kazi yoyote ambayo taaluma yako unaruhusiwa, unaweza ukafanya oral ya wakili wa SERIKALINI ii unapangiwa baadaye Kama afisa tarafa ii
Ukifanya oral ukikaa kanzi data unapangiwa kazi yoyote ambayo taaluma yako unaruhusiwa, unaweza ukafanya oral ya wakili wa SERIKALINI ii unapangiwa baadaye Kama afisa tarafa ii
Ni lazima iwe na uhitaji coz mara zote hawwezi kutangaza kazi na kupitisha saili hizi saili zinamatumizi yake ya pesa pia.. unaweza Kuta Halmashauri Fulani inauhitaji wa nafasi 1 hapa lazima wanyofoe mtu kutoka database
Kuna kanzidata za aina tatu:
1. Za wahitimu wa Vyuo na Wataalam
2. Za waliofaulu usaili
3. Za waliopangiwa vituo vya kazi.
Najikita kwenye Kanzi data ya waliofaulu usaili ambayo imezungumziwa kwenye kanuni namba 22.
Imelezewa kuwa orodha ya waliofaulu usahili mahojiano na hawakuweza kupata nafasi itatunzwa kwa matumizi ya baadae(1), itatumika kujaza nafasi wazi kulingana na mahitaji ya waajiri(2), endapo hii orodha itakuwa imeisha baada ya watu wote kupangiwa vituo vya kazi au waliopo kanzi data watakuwa hawana sifa au utaalamu anaouhitaji mwajiri, nafasi za ajira zitatangazwa(3),
Kulingana na hivyo vipengele vya kanuni inaonesha kuwa sifa au utaalamu wa mtu aliyepo kanzi data ndio utamuwezesha kupangiwa kituo endapo nafasi yenye kuhitaji sifa au utaalamu alionao itapatikana, hapa sasa ndio pale tunapoona watu wanapangiwa vituo kwenye taasisi tofauti tofauti ambazo hawakuzifanyia usahili.
Kuhusu kuangalia suala la qualifications za vyeti kama unavyotaka hapa mimi naona hili lipo ndani ya sifa au utaalamu uliotajwa kwenye kanuni hii.
Mambo yanayohusisha mahesabu niachen nayo kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Noma sana mkuu...mimi nimekandwa.....nina 46.5 nimekosa maksi 3.5 tu kuingia kwenye selected for oral.
jamaa ana madini sana najifunza sana vitu vingi kutoka kwakeMwifwa ni hazina ya huu UZI tumtunze kwa gharama yoyote ile.
Umepita au la?Mambo yanayohusisha mahesabu niachen nayo kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Prac na Oral zote zinachangia marks kwenye ufaulu wa jumla ili upate kazi.anafanya tusikate tamaa japo tunakata tamaa kulingana na matokeo ya practical na nafasi zenyewe mbili kwa ile oral ya utumishi unajua tu ushafeli make dooh nilizidiwa prac may be mungu abariki nipindue meza oral
Hapana, wanakuweka kokoteNikadhani utapangiwa kinachofanana na ulichoomba.