Mungu anisimamie niweze kupita na awamu hiiHongera kaka, usichezee nafasi game ngumu!
Congratulations, tunakuombea[emoji1431][emoji1431][emoji1431]Mungu anisimamie niweze kupita na awamu hii
HongeraYah mzee nimetoboa ss najifua prac hatarii
Pole sana, sijui uliingia cha kiume(joking)[emoji3][emoji3][emoji3]Msomi amelala yooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera sana, tulizani tumekosa mtu wa kuleta mrejesho kama huu hapa kumbe wewe upo.Yah mzee nimetoboa ss najifua prac hatarii
Pole sana mkuu, usijali, songa mbeleNi noma na nusu wana ndugu, binafsi nimedondokea pua maksi hazijatosha.
Hongereni kwa mliovuka hii hatua ngumu, kazeni kamba kwa hatua inayofata.
Hata kama umepata sifuri lazima namba ionekane kwenye pdf ya matokeoAsipona kabs Bhac Amepata Below Last Mentioned Marks Au Amescore Yai.
Hiyo ndio MMU bana, jukwaa la Utelezi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nmekuja kutoa tu shukrani, nje ya mada kidogo. Ukiwa jobless halafu hujapata mchongo hiyo siku unakuwa na upweke sana. Alienambia jukwaa la mahusiano na urafiki namshukuru sana. Sio kwamba natafuta mpenzi hapana. Ila mada za nkiwa lonely naanza soma moja baada ya nyingine, story za kuhuzunisha na kuchekesha at the same time, unakutana na watu nati mbili za ubongo zishakata kila muda anawaza mapenzi, mara story za kusadikika halafu ukishasoma kitu ukisikia mtu ana matatizo zaidi ya kwako unapata ahueni[emoji23], unasahau kama umekandwa TRA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shukrani ulienionesha hili jukwaa sisi lonely linatusaidia mno[emoji23]
Hata mimi nimetoboa wazee najiandaa na prac japo ngoma ilipigia kwenye msitariHongera sana, tulizani tumekosa mtu wa kuleta mrejesho kama huu hapa kumbe wewe upo.
All the best ChiefHata mimi nimetoboa wazee najiandaa na prac japo ngoma ilipigia kwenye msitari
All the best, tunakuombeaHata mimi nimetoboa wazee najiandaa na prac japo ngoma ilipigia kwenye msitari
We nawe umetoboa mkuu..?All the best, tunakuombea
Hongera sana mkuu.Hata mimi nimetoboa wazee najiandaa na prac japo ngoma ilipigia kwenye msitari
AmenAll the best Chief
Amina dada nina shida na affirdavityAll the best, tunakuombea
Asante kakaHongera sana mkuu.
Hongera Sana mkuu kila la kheri kwenye practicalHata mimi nimetoboa wazee najiandaa na prac japo ngoma ilipigia kwenye msitari
Sijui ni nini kilinipeleka wakati ata hesabu za kujumlisha zinanishinda[emoji23]Pole sana, sijui uliingia cha kiume(joking)[emoji3][emoji3][emoji3]
Tusubiri placements huenda Sir God kashafanya yake kule
Hapana mkuu, nina no ya viatu ninayovaa, no 41[emoji23][emoji23][emoji23]We nawe umetoboa mkuu..?