Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nmekuja kutoa tu shukrani, nje ya mada kidogo. Ukiwa jobless halafu hujapata mchongo hiyo siku unakuwa na upweke sana. Alienambia jukwaa la mahusiano na urafiki namshukuru sana. Sio kwamba natafuta mpenzi hapana. Ila mada za nkiwa lonely naanza soma moja baada ya nyingine, story za kuhuzunisha na kuchekesha at the same time, unakutana na watu nati mbili za ubongo zishakata kila muda anawaza mapenzi, mara story za kusadikika halafu ukishasoma kitu ukisikia mtu ana matatizo zaidi ya kwako unapata ahueni[emoji23], unasahau kama umekandwa TRA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shukrani ulienionesha hili jukwaa sisi lonely linatusaidia mno[emoji23]
Hahahahaaaaaa, utakuwa umeenda uzi wa kimasihara
 
Hawa jamaa hawajasahisha hii mitihani amini hivyo!.
Toka tarehe 17 watu wameanza kufanya Usaili Hadi Leo hii unasemaje hawajasahihisha.. hii time interval yote walikuwa wanafanya nn..? Siwezi kukubali hiki kitu..
Kitu Cha msingi ukiitwa Usaili utumishi basi jiandae kama ulivyokawa unajiandaa vizuri chuo kufanya UE
 
Nmekuja kutoa tu shukrani, nje ya mada kidogo. Ukiwa jobless halafu hujapata mchongo hiyo siku unakuwa na upweke sana. Alienambia jukwaa la mahusiano na urafiki namshukuru sana. Sio kwamba natafuta mpenzi hapana. Ila mada za nkiwa lonely naanza soma moja baada ya nyingine, story za kuhuzunisha na kuchekesha at the same time, unakutana na watu nati mbili za ubongo zishakata kila muda anawaza mapenzi, mara story za kusadikika halafu ukishasoma kitu ukisikia mtu ana matatizo zaidi ya kwako unapata ahueni[emoji23], unasahau kama umekandwa TRA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shukrani ulienionesha hili jukwaa sisi lonely linatusaidia mno[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nikuelekeze na lingine
 
Back
Top Bottom