Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Toka tarehe 17 watu wameanza kufanya Usaili Hadi Leo hii unasemaje hawajasahihisha.. hii time interval yote walikuwa wanafanya nn..? Siwezi kukubali hiki kitu..
Kitu Cha msingi ukiitwa Usaili utumishi basi jiandae kama ulivyokawa unajiandaa vizuri chuo kufanya UE
Huku ni zaidi ya maandalizi ya UE, hakuna second chance ukizingua.

Chuo kuna Sup(second chance)
 
Vijana wenzangu naomba niwaambie kitu labda kupitia mimi pia kuna wengine wanaweza kupata kitu. Nimemaliza chuo 2017. Toka mwaka huo nimekuwa nafanya interview utumishi na sijawahi hata kuwa selected hata mara moja kwenda oral ila sijawahi kukata tamaa, nimekuwa nikiamini katika wakati. Hata zile pepa ambazo tulikuwa tunaenda wachache nikiamini kulingana na uchache ningepata ila haikuwa hivyo. Mungu alivyo mkubwa katika mtihani huu wa TRA ambao kada ya TMO tulifanya watu 7380 na mimi nimekuwa selected kwenda oral kwangu naona ni wakati ambao mwenyezi Mungu ameona ni sahihi mimi kufika hatua hiyo. Hivyo vijana wenzangu tusikate tamaa ila tu tujiandae. Ahsanteni
Ushuhuda huu uwe chachu kwa wapambanaji wote bila kuchoka!
 
Hongera sana mkuu, you are 45mins away to win the battle(kama kwenye football upo kwenye HT kama ilivyokuwa Messi).

Lakini kumbuka second half lolote linaweza kutokea, ama win or lose.

Sasa jiandae kupambana hadi tone la mwisho la jasho ili uweze kupata matokeo bora.

Kila la kheri na Mungu akutangulie
 
Mimi urefu unanisumbua, napata shida kuanzia viatu hadi nguo
Siku ile niliona mrefu mmoja tu, yule aliyekuwa na mwili mdogo/mwembamba, halafu wewe sio mwembamba sasa huo urefu umeutoa wapi[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom