Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Duuh, aisee kila mtu na zamu yake hapa Walokandwa TRA, wanasema bora kwanza wangetoa kada nyingine, hapa nina received 3, nikiona watu wanakandwa na kupita, nasema na mimi si ni kama hawa-hawa, tuombeane.
 
Ni kawaida watu kuwa na mawazo tofaut tofaut pale wanapokuwa hawaoni kinachofanyika baada ya wao kukusanya mitihani yao, i mean wengi walitamani waone mitihani yao adi na marks zao wazione na jinsi ilivosahishwa ili wajiridhishe,ila ndo haiwezekani.

Ila mitihani ina sahishwa, kwa sababu toka wanze ii process ya kusimamia ajira mpaka leo kama wangekua hawasaishi mitihani ingejulikana haraka sana hata mwaka wasingemaliza, mafuta siku zote huwa yanajitenga na maji
Ni Yeye
Nadhan Mmelewa Mafuta na Maji Siku Zote Yanajitenga.
 
Duuh, aisee kila mtu na zamu yake hapa Walokandwa TRA, wanasema bora kwanza wangetoa kada nyingine, hapa nina received 3, nikiona watu wanakandwa na kupita, nasema na mimi si ni kama hawa-hawa, tuombeane.
Piga tu msuli, usiruke topic, pata concept, elewa concept, ktk paper hata swali huliepewi elewi, jazs unachohisi ni sahihi, usiache hata swali. Dua pia ni muhim.
 
Mkuu hilo folder lako ni noma naona umesindikizia kaPdf na picha hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nilikuwa nafanya attachment ya dcm ya maswali ya custom ndio nashngaa kina lissu na huyu mrembo wamefika vip huku

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Jmn Kweli kbsa unakula Moja Hadi tano na ukute umesafiri nauli umetumia laki moja

Kwanin watu hawajiandai Hadi week la mwisho ndio uanze kukimbizana

Nimefanya ule mtiani ila siyo kwa maksi hzo
Screenshot_20221229-092904.jpg
Screenshot_20221229-092904.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kanuni namba 16 (3) inasomeka hivi: Alama za ufaulu kwa kada zinazohusisha usaili wa vitendo au uwasilishaji wa mada zitapatikana kwa kuchukua alama za vitendo au uwasilishaji wa mada jumlisha alama za mahojiano

Hii kanuni haijafafanua zaidi kama itakuwa hivi Prac/uwasilishaji + Oral = Jumla au (Prac/uwasilishaji + Oral) ÷ 2 = Jumla.
Kwa hiyo wao ndio wanajua zaidi hapo
Shukrani mkuu, nimekusoma
 
Watu wanafeli mitiani ya secretarieti tra mkp mtu katika mtiani wa custom alilamba 1.5 na Ni wengi hatari sana hapo usishange huyo aliyepata hyo 1.5 Ana gpa ya 3.8

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Inawezekana kabisa, anaweza kuwa na ata ya 4.5[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom