Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kabsa mkuu, kumbe umenipata.
Nimepitia id yake, ni ya Dec 10, 2022(siku 1 baada placement ya ORCI kutoka tarehe 9/12/2022 ambayo aliisubiria kwa hamu na alikuwa na matumaini nayo).

Hadi sasa kapost mara 6 tu tena kwenye huu uzi pekee.

Pia, mojawapo ya post ni ile aliyojibu baada ya kuwa quoted na post iliyosomeka "Wizy King" yeye akarukia na kusema "mimi sio wizy"

Kwa kujibu vile ina maana alishtuka kuwa anasemwa yeye ndio Wizy[emoji3][emoji3][emoji3]

Akaendelea kusema hamfahami wizy.

Baadae akazungumzia kuwa anafananishwa na wizy huku akidai sio yeye..Wasomi kutoka Cuba tushaweka kalamu chini.

Kila mtu ana uhuru wa kufanya anachokipenda/anachokitaka humu bila kuvunja sheria za jukwaa/JF.

Hili limepita tuendelee na agenda zetu za PSRS.
 
Nimepitia id yake, ni ya Dec 10, 2022(siku 2 kabla placement ya ORCI kutoka ambayo aliisubiria kwa hamu na alikuwa na matumaini nayo).

Hadi sasa kapost mara 6 tu tena kwenye huu uzi pekee.

Pia, mojawapo ya post ni ile aliyojibu baada ya kuwa quoted na post iliyosomeka "Wizy King" yeye akarukia na kusema "mimi sio wizy"

Kwa kujibu vile ina maana alishtuka kuwa anasemwa yeye ndio Wizy[emoji3][emoji3][emoji3]

Akaendelea kusema hamfahami wizy.

Baadae akazungumzia kuwa anafananishwa na wizy huku akidai sio yeye..Wasomi kutoka Cuba tushaweka kalamu chini.

Kila mtu ana uhuru wa kufanya anachokipenda/anachokitaka humu bila kuvunja sheria za jukwaa/JF.

Hili limepita tuendelee na agenda zetu za PSRS.
Kijana arudi tu hata kama ni baba Jeni bye bye sio mwisho wa maisha. Kuna watu wengi sana kawasaidia kupitia miongozo yake kuhusu kujiandaa na written so asiogope
 
Tumuachie tu imebaki uamuzi wake, kurudi au kutorudi.

Miongozo aliyowahi kuitoa, tuishi nayo na tuiendeleze
 
Nimepitia id yake, ni ya Dec 10, 2022(siku 1 baada placement ya ORCI kutoka tarehe 9/12/2022 ambayo aliisubiria kwa hamu na alikuwa na matumaini nayo).

Hadi sasa kapost mara 6 tu tena kwenye huu uzi pekee.

Pia, mojawapo ya post ni ile aliyojibu baada ya kuwa quoted na post iliyosomeka "Wizy King" yeye akarukia na kusema "mimi sio wizy"

Kwa kujibu vile ina maana alishtuka kuwa anasemwa yeye ndio Wizy[emoji3][emoji3][emoji3]

Akaendelea kusema hamfahami wizy.

Baadae akazungumzia kuwa anafananishwa na wizy huku akidai sio yeye..Wasomi kutoka Cuba tushaweka kalamu chini.

Kila mtu ana uhuru wa kufanya anachokipenda/anachokitaka humu bila kuvunja sheria za jukwaa/JF.

Hili limepita tuendelee na agenda zetu za PSRS.
Kijana wizy kama uwa unasoma kimya kimya izi comment tafadhali rudiiiiiiiii ichi kikombe kini epuke.
 
Naam Mkuu kweli wewe umepitia cuba.
 
Wasomi wa cuba hapo kidogo mmeyumba.
Wewe kweli ni Wizy hata kama utakataa ila wewe nj wizy. Jamani huyu ni yeye narudia ni yeye in T.I.D voice.
Ila yoye ya yoye kuwa wazi tu mie mbona nimepigwa ndoige Placements ile ya mwisho kutoka ya tarehe 12 bado nipo humu pia kuna wengi tu wamepigwa/tumepigwa ndoige bado tupo na wengine mfano Prok amepigwa PERESUPERESU na TRA ila bado yupo na wengine wengi tu... Rudi mzee baba kwa id yeko ya awali bhana.
 
Nimepitia id yake, ni ya Dec 10, 2022(siku 1 baada placement ya ORCI kutoka tarehe 9/12/2022 ambayo aliisubiria kwa hamu na alikuwa na matumaini nayo).

Hadi sasa kapost mara 6 tu tena kwenye huu uzi pekee.

Pia, mojawapo ya post ni ile aliyojibu baada ya kuwa quoted na post iliyosomeka "Wizy King" yeye akarukia na kusema "mimi sio wizy"

Kwa kujibu vile ina maana alishtuka kuwa anasemwa yeye ndio Wizy[emoji3][emoji3][emoji3]

Akaendelea kusema hamfahami wizy.

Baadae akazungumzia kuwa anafananishwa na wizy huku akidai sio yeye..Wasomi kutoka Cuba tushaweka kalamu chini.

Kila mtu ana uhuru wa kufanya anachokipenda/anachokitaka humu bila kuvunja sheria za jukwaa/JF.

Hili limepita tuendelee na agenda zetu za PSRS.
Kaka wewe noma sana huyu ni yeye asilimia 99.9
 
Kijana wizy kama uwa unasoma kimya kimya izi comment tafadhali rudiiiiiiiii ichi kikombe kini epuke.
Hahahahaa.

Sema bora nirudi tu niache kusemwa semwa.

Sikutarajia kama ungefanya hivi ingawa linawezekana ukiamua kama ulivyoamua. Baada ya placement kutoka usiku wa tarehe 9 ukatoweka moja kwa moja, tarehe 10 ukajiunga na ID hii mpya.

Kama ushalamba mrija wa Asali pale ORCI, kila la kheri kwenye majukumu yako. Kuna jamaa zangu 3 walilamba Asali pale kwenye placement yenu, mkiwa kwenye Clinical meeting usiache kuwapa hii.

Sisi wengine ngoja tuendelee kusubiri placements na kuapply zingine zitakazojitokeza.
 
Back
Top Bottom