Mimi urefu unanisumbua, napata shida kuanzia viatu hadi nguoKumbe tunaweza kushare moka[emoji3][emoji3], inayofuata ndio namba yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi urefu unanisumbua, napata shida kuanzia viatu hadi nguoKumbe tunaweza kushare moka[emoji3][emoji3], inayofuata ndio namba yangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahaaaaaa, utakuwa umeenda uzi wa kimasihara
Huku ni zaidi ya maandalizi ya UE, hakuna second chance ukizingua.Toka tarehe 17 watu wameanza kufanya Usaili Hadi Leo hii unasemaje hawajasahihisha.. hii time interval yote walikuwa wanafanya nn..? Siwezi kukubali hiki kitu..
Kitu Cha msingi ukiitwa Usaili utumishi basi jiandae kama ulivyokawa unajiandaa vizuri chuo kufanya UE
Usimpoteze Da Prok tafadhali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nikuelekeze na lingine
ASante sanaHongera sana mkuu.
Pole sana, usijali next time ni utapita.Nimekandwa bwana TRA [emoji23]
Asante sanaHongera sana mkuu.
Ushuhuda huu uwe chachu kwa wapambanaji wote bila kuchoka!Vijana wenzangu naomba niwaambie kitu labda kupitia mimi pia kuna wengine wanaweza kupata kitu. Nimemaliza chuo 2017. Toka mwaka huo nimekuwa nafanya interview utumishi na sijawahi hata kuwa selected hata mara moja kwenda oral ila sijawahi kukata tamaa, nimekuwa nikiamini katika wakati. Hata zile pepa ambazo tulikuwa tunaenda wachache nikiamini kulingana na uchache ningepata ila haikuwa hivyo. Mungu alivyo mkubwa katika mtihani huu wa TRA ambao kada ya TMO tulifanya watu 7380 na mimi nimekuwa selected kwenda oral kwangu naona ni wakati ambao mwenyezi Mungu ameona ni sahihi mimi kufika hatua hiyo. Hivyo vijana wenzangu tusikate tamaa ila tu tujiandae. Ahsanteni
Kwa kweli inabdi kumahkuru mungu na kupambana katika hatua inayofuata!Hongera sana mkuu, hivyo ndivyo unaongeza wigo wa kuusogelea mrija wa Asali
Hongera sana mkuu, you are 45mins away to win the battle(kama kwenye football upo kwenye HT kama ilivyokuwa Messi).Vijana wenzangu naomba niwaambie kitu labda kupitia mimi pia kuna wengine wanaweza kupata kitu. Nimemaliza chuo 2017. Toka mwaka huo nimekuwa nafanya interview utumishi na sijawahi hata kuwa selected hata mara moja kwenda oral ila sijawahi kukata tamaa, nimekuwa nikiamini katika wakati. Hata zile pepa ambazo tulikuwa tunaenda wachache nikiamini kulingana na uchache ningepata ila haikuwa hivyo. Mungu alivyo mkubwa katika mtihani huu wa TRA ambao kada ya TMO tulifanya watu 7380 na mimi nimekuwa selected kwenda oral kwangu naona ni wakati ambao mwenyezi Mungu ameona ni sahihi mimi kufika hatua hiyo. Hivyo vijana wenzangu tusikate tamaa ila tu tujiandae. Ahsanteni
KaPdf cha kanuni hakaView attachment Kanuni za PSRS 2021.pdfMkuu tusaidie hicho kitabu cha kanuni
Mkuu hilo folder lako ni noma naona umesindikizia kaPdf na picha hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siku ile niliona mrefu mmoja tu, yule aliyekuwa na mwili mdogo/mwembamba, halafu wewe sio mwembamba sasa huo urefu umeutoa wapi[emoji3][emoji3][emoji3]Mimi urefu unanisumbua, napata shida kuanzia viatu hadi nguo
sikucheki kwasababu hujui,ila nami nikama wewe tuUsicheke ndugu angu[emoji23][emoji23]
mbona wewe ulinipoteza mimi[emoji38][emoji38][emoji38],acha tupotezane tuUsimpoteze Da Prok tafadhali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi ni mnene halafu mrefu, sio kifutu though[emoji23][emoji1787]Siku ile niliona mrefu mmoja tu, yule aliyekuwa na mwili mdogo/mwembamba, halafu wewe sio mwembamba sasa huo urefu umeutoa wapi[emoji3][emoji3][emoji3]
Tupeane pole, mimi ata ukinipa scientific calculator siwez itumia, ata kwenye mtihani sikujisumbua kuomba[emoji23]sikucheki kwasababu hujui,ila nami nikama wewe tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbona wewe ulinipoteza mimi[emoji38][emoji38][emoji38],acha tupotezane tu
Na hapo bado hujapata mrija wa Asali[emoji3][emoji3][emoji3]Mimi ni mnene halafu mrefu, sio kifutu though[emoji23][emoji1787]
Huu mrija mpaka niupate ntakuwa nshapungua zaidiNa hapo bado hujapata mrija wa Asali[emoji3][emoji3][emoji3]