Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nmekuja kutoa tu shukrani, nje ya mada kidogo. Ukiwa jobless halafu hujapata mchongo hiyo siku unakuwa na upweke sana. Alienambia jukwaa la mahusiano na urafiki namshukuru sana. Sio kwamba natafuta mpenzi hapana. Ila mada za nkiwa lonely naanza soma moja baada ya nyingine, story za kuhuzunisha na kuchekesha at the same time, unakutana na watu nati mbili za ubongo zishakata kila muda anawaza mapenzi, mara story za kusadikika halafu ukishasoma kitu ukisikia mtu ana matatizo zaidi ya kwako unapata ahueni[emoji23], unasahau kama umekandwa TRA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shukrani ulienionesha hili jukwaa sisi lonely linatusaidia mno[emoji23]
Hiyo ndio MMU bana, jukwaa la Utelezi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kwa hisani ya rikiboy
 
Back
Top Bottom