Hongera sana. Mungu akusimamie[emoji1431]Hakika nilikua nawaza sana wadau wanaotoa ushuhuda kua wamewezaje ingia oral zaid ya moja,kama wizy hakika na mimi nashkuru safu yangu ya ushambulizi huku Mbappe na Neymar yaani NAOT na TRA hakika kila kitu kinawezekana ni kuendelea kufanya jitihada tu
Njoo PMAmina dada nina shida na affirdavity
"Da' PGO" Kama "PGO"Njoo PM
Usinichekeshe bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Da' PGO" Kama "PGO"
Pole sana, watu wengi wa sheria hesabu kwao ni kama "aleji". Naamini mlango utafunguka na utapata tu, katika zile pending, mbili utapata uchague mwenyewe.Sijui ni nini kilinipeleka wakati ata hesabu za kujumlisha zinanishinda[emoji23]
Hahahahaaaaaa, utakuwa umeenda uzi wa kimasiharaNmekuja kutoa tu shukrani, nje ya mada kidogo. Ukiwa jobless halafu hujapata mchongo hiyo siku unakuwa na upweke sana. Alienambia jukwaa la mahusiano na urafiki namshukuru sana. Sio kwamba natafuta mpenzi hapana. Ila mada za nkiwa lonely naanza soma moja baada ya nyingine, story za kuhuzunisha na kuchekesha at the same time, unakutana na watu nati mbili za ubongo zishakata kila muda anawaza mapenzi, mara story za kusadikika halafu ukishasoma kitu ukisikia mtu ana matatizo zaidi ya kwako unapata ahueni[emoji23], unasahau kama umekandwa TRA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shukrani ulienionesha hili jukwaa sisi lonely linatusaidia mno[emoji23]
Amina amina mama 🤲🤲Congratulations, tunakuombea[emoji1431][emoji1431][emoji1431]
Hongera sana mkuu.Hakika nilikua nawaza sana wadau wanaotoa ushuhuda kua wamewezaje ingia oral zaid ya moja,kama wizy hakika na mimi nashkuru safu yangu ya ushambulizi huku Mbappe na Neymar yaani NAOT na TRA hakika kila kitu kinawezekana ni kuendelea kufanya jitihada tu
Hallelujah[emoji16][emoji23]Pole sana, watu wengi wa sheria hesabu kwao ni kama "aleji". Naamini mlango utafunguka na utapata tu, katika zile pending, mbili utapata uchague mwenyewe.
Sielewi mimi[emoji23][emoji23]Hahahahaaaaaa, utakuwa umeenda uzi wa kimasihara
Hawa jamaa hawajasahisha hii mitihani amini hivyo!.Kuna dogo hapa kitaa haamini anachokiona custum officer kwenye account yake Ameonekana amekandwa ila kwe Pdf hayupo kabisa number yake
Toka tarehe 17 watu wameanza kufanya Usaili Hadi Leo hii unasemaje hawajasahihisha.. hii time interval yote walikuwa wanafanya nn..? Siwezi kukubali hiki kitu..Hawa jamaa hawajasahisha hii mitihani amini hivyo!.
Kalagabaho jidanganye hivyo hivyo,Toka tarehe 17 watu wameanza kufanya Usaili Hadi Leo hii unasemaje hawajasahihisha.. hii time interval yote walikuwa wanafanya nn..? Siwezi kukubali hiki kitu..
Kitu Cha msingi ukiitwa Usaili utumishi basi jiandae kama ulivyokawa unajiandaa vizuri chuo kufanya UE
Wewe ndo Kalagabaho.. kama umekandwa basi kubali Uhalisia ili ujipange upya.. kama hawakusahihisha basi na wewe ungewekewa hyo selected for another step(Prac or Aral) kwanini uwekewe Not Selected..?Kalagabaho jidanganye hivyo hivyo,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nikuelekeze na lingineNmekuja kutoa tu shukrani, nje ya mada kidogo. Ukiwa jobless halafu hujapata mchongo hiyo siku unakuwa na upweke sana. Alienambia jukwaa la mahusiano na urafiki namshukuru sana. Sio kwamba natafuta mpenzi hapana. Ila mada za nkiwa lonely naanza soma moja baada ya nyingine, story za kuhuzunisha na kuchekesha at the same time, unakutana na watu nati mbili za ubongo zishakata kila muda anawaza mapenzi, mara story za kusadikika halafu ukishasoma kitu ukisikia mtu ana matatizo zaidi ya kwako unapata ahueni[emoji23], unasahau kama umekandwa TRA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shukrani ulienionesha hili jukwaa sisi lonely linatusaidia mno[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui kwanini nimecheka kwa sauti hiviSijui ni nini kilinipeleka wakati ata hesabu za kujumlisha zinanishinda[emoji23]
Nani kwakwambia nimefanya interview? KalagabahoWewe ndo Kalagabaho.. kama umekandwa basi kubali Uhalisia ili ujipange upya.. kama hawakusahihisha basi na wewe ungewekewa hyo selected for another step(Prac or Aral) kwanini uwekewe Not Selected..?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nikuelekeze na lingine
Usicheke ndugu angu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui kwanini nimecheka kwa sauti hivi
Niliandika nikafuta, nimeandika nikafuta. Anyway, hizi mambo zinaenda na bahati pia. Tusisahau hilo.Hawa jamaa hawajasahisha hii mitihani amini hivyo!.