Hahahahaa, ungeomba maji ya kunywa waliyoweka kwenye meza zao
Kada ipi ndugu na mliletewajeWashanikanda utumishi Leo asubuhi tu kudadeki
Mkuu, kwa vigezo hivyo umepata nafasi ya Tutorial Assistant au ni Assistant Lecturer?hapana mkuu nimesoma UDSM bachelor.. masters nikasoma Open University
Assistant instructor iAE Ilikua inataka watu waliosoma cozi mchanganyiko
Okay Sawa hapo Kweli Mungu asaidie angalau uvuke Duuuh na hizi post zenye kada zaidi ya moja zinachallengeAssistant instructor iAE Ilikua inataka watu waliosoma cozi mchanganyiko
Wametoka mambo ya ualimu jinsi ya kuandaa course/programme curriculum
Mambo ya problem statement
Na mengine ya uelewa tu Kama general intercultural skills and capacities for your duite
Pia difficulties for poor research design
So nimeotea kama mawili tu kwa point za kutunga
Maswali yalikua na nne
Watu wapo wanafanya interview mkuu so mpka Leo wamalize maybe wiki ijayoHv jamani mbona PSRS hawatoi tena MIKEKA ya Usaili.. naona kimya Toka ilivyopita Ile ya Bunge na huu mwaka unaisha.. Sa inafikia kipindi inakubid Kila siku uwe na bando ili uweze kuona kama call for interview imetoka..
Linaelekea kuzama, je kuna lolote jipya kuhusu wapambania mrija wa Asali?Siku nyingine hiyo wasaka mirijaa
Pole sana mkuu, tuendelee kupambania mrija wa asaliWashanikanda utumishi Leo asubuhi tu kudadeki
Kweli mkuu acha tuendelee kupambanaPole sana mkuu, tuendelee kupambania mrija wa asali
Ratiba ya sahili inaisha mwezi huu mwishoni. Mikeka ya sahili ilipotoka kuanzia tarehe 30, August tarehe zilipangwa hadi mwezi huu uishe.Hv jamani mbona PSRS hawatoi tena MIKEKA ya Usaili.. naona kimya Toka ilivyopita Ile ya Bunge na huu mwaka unaisha.. Sa inafikia kipindi inakubid Kila siku uwe na bando ili uweze kuona kama call for interview imetoka..
Leo nipo kwenye usaili nasikia wadau eti wanasema kazi za TRA zilitangazwa Ilikua kwenye ule mwaka uliopita wa bajeti so baada ya kuiingia mwaka mpya wa bajeti Toka mwezi wa Saba zile nafasi zikafa so mpka mwakani watatangaza Tena watu waombe upya eti ndo maana Imebaki tu Kuwa received na kazi zingine zote zilizokuja kabla yake watu wanaitwa interviewRatiba ya sahili inaisha mwezi huu mwishoni. Mikeka ya sahili ilipotoka kuanzia tarehe 30, August tarehe zilipangwa hadi mwezi huu uishe.
Kwa sasa mikeka maarufu iliyobaki ni MGA & LGA, NAOT, Legal(kama sikosei), TRA, MUHAS n.k, hii ni mikeka mikubwa naitabiria kupangiwa ratiba kuanzia mwezi ujao.
Hili suala kuna mdau wangu ni mtumishi wa tra aliwahi kuniambia ila naona kama lina ukweli.yeye aliniambia hizi kazi za tra za juzi zilitangazwa kisiasa tu ila kiuhalisia hakukua na bajeti iliyotengwa kwa ajili yake.Leo nipo kwenye usaili nasikia wadau eti wanasema kazi za TRA zilitangazwa Ilikua kwenye ule mwaka uliopita wa bajeti so baada ya kuiingia mwaka mpya wa bajeti Toka mwezi wa Saba zile nafasi zikafa so mpka mwakani watatangaza Tena watu waombe upya eti ndo maana Imebaki tu Kuwa received na kazi zingine zote zilizokuja kabla yake watu wanaitwa interview
Basi itakua kweli hatuna chetu hapo jobless tuendelee kupambana na Huku kwingine tu wakituita sawa tutaenda na hukoHili suala kuna mdau wangu ni mtumishi wa tra aliwahi kuniambia ila naona kama lina ukweli.yeye aliniambia hizi kazi za tra za juzi zilitangazwa kisiasa tu ila kiuhalisia hakukua na bajeti iliyotengwa kwa ajili yake.
Inaweza ikatupiwa placement moja ya kulalia hata saa tatu na nusu mkuu🤣🤣🤣Na placement akuna [emoji23]
Hivi tunavyotiana moyo,,,hawa jamaa wanatuchora na kucheka kwa sautiInaweza ikatupiwa placement moja ya kulalia hata saa tatu na nusu mkuu🤣🤣🤣