mosses15
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 992
- 2,266
Aisee imekua kheri sana ngoma haijakesha sana 🙏, sikuwahi kupambania mrija utumish yaan imekua mara ya kwanza na ndo nimepenya hapo hapo. Kwa hakika yanawezekana Alhamdulilah.
Hongera sana mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee imekua kheri sana ngoma haijakesha sana 🙏, sikuwahi kupambania mrija utumish yaan imekua mara ya kwanza na ndo nimepenya hapo hapo. Kwa hakika yanawezekana Alhamdulilah.
Jobless msitaafu ushajua na Mishahara kweli asali tamu Sasa fanya uoe tu ndugu yangu 🤣🤣🤣🤣🤣Mshaara wa PHTS1 ni 1,430,000 Sasa sijajua wa PUTS 1.1, basic salary
Hongera sana kaka hakika kila Mungu ni mkubwaAisee imekua kheri sana ngoma haijakesha sana 🙏, sikuwahi kupambania mrija utumish yaan imekua mara ya kwanza na ndo nimepenya hapo hapo. Kwa hakika yanawezekana Alhamdulilah.
Yeah kuoa ni Moja ya priority zangu kakaJobless msitaafu ushajua na Mishahara kweli asali tamu Sasa fanya uoe tu ndugu yangu 🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu ulipata taasisi ganiSawa mzeee Kuna watu humu hawajui ugumu uliopo kwenye Kusubr kupigiwa simu I wish wangejua wanachukulia simple sana omba January uingie mzigoni usiwe kama sie tunaenda mwezi wa Tano sasa kimya
Taasisi yenu miyeyusho sana, wengi wao ndani ya mwezi tu toka placement wanakua kazini.Sawa mzeee Kuna watu humu hawajui ugumu uliopo kwenye Kusubr kupigiwa simu I wish wangejua wanachukulia simple sana omba January uingie mzigoni usiwe kama sie tunaenda mwezi wa Tano sasa kimya
VetaMkuu ulipata taasisi gani
Puts 1.1 basic ni 1,692,000 .bodi hawajaanza kutukata take home ni 1.2M na nusu na ushee hapo bodi ya mkopo hawapo nadhani wataanza kukata mwezi wa sabaWakuu Hivi mshahara wa wa Tutorial Assistant wa scale ya PUTS 1.1 wa chuo kikuu kwa wale wanaoenda kufundisha masomo ya uchumi, huu mshahara Huwa ni sh ngapi ? I mean basic salary ikoje ? na na net salary baada ya kukatwa kila kitu pamoja na deni la bodi ya mkopo ikoje ?.
Ahaa basi tuendelee kusubiri tu maana tumesubiri sanaVeta
Ndo ivyo Sasa hakuna jinsi now so ajabu hata wakikuita Kazini unakuta hata mambo ya mshahara ndo wananza kufanya process then unafany job miezi 3 bila hela unabaki kushangaaa miezi yote mitano nyuma walikua wanafanya nn?Taasisi yenu miyeyusho sana, wengi wao ndani ya mwezi tu toka placement wanakua kazini.
Dah noma sana aiseeNdo ivyo Sasa hakuna jinsi now so ajabu hata wakikuita Kazini unakuta hata mambo ya mshahara ndo wananza kufanya process then unafany job miezi 3 bila hela unabaki kushangaaa miezi yote mitano nyuma walikua wanafanya nn?
Wenzako unawasaliana nao?Ndo ivyo Sasa hakuna jinsi now so ajabu hata wakikuita Kazini unakuta hata mambo ya mshahara ndo wananza kufanya process then unafany job miezi 3 bila hela unabaki kushangaaa miezi yote mitano nyuma walikua wanafanya nn?
Mkuu unamaanisha hiyo 1.2m hapo bado bodi ya mikopo hawajakata Bado🤔 ?Puts 1.1 basic ni 1,692,000 .bodi hawajaanza kutukata take home ni 1.2M na nusu na ushee hapo bodi ya mkopo hawapo nadhani wataanza kukata mwezi wa saba
Ofcourse mzeeMkuu unamaanisha hiyo 1.2m hapo bado bodi ya mikopo hawajakata Bado[emoji848] ?
Kuna uzi kule MMU kuna manzi analalamika kuna member wa jf alikuwa anamuheshimu sana hadi wakapanga kuonana na ikawa hvyo.Switch Id tuliyoizoea mkuu
So kumbe customs officer wa TRA anapokea mshahara mnono kuliko Hawa TUTORIAL ASSISTANTS wa Chuo ?Ofcourse mzee
Nawao bila bila tuWenzako unawasaliana nao?
Sio tu customs officer hata Tax mgt officer pia anakunja parefu kuliko TA.So kumbe customs officer wa TRA anapokea mshahara mnono kuliko Hawa TUTORIAL ASSISTANTS wa Chuo ?
Kweli yatupasa tukaze waku
Usishangae mkuu, afu kwa hali ya kawaida tu majukumu ya customs officer ni makubwa kuliko hao TASo kumbe customs officer wa TRA anapokea mshahara mnono kuliko Hawa TUTORIAL ASSISTANTS wa Chuo ?
Kweli yatupasa tukaze wakuu.
Yeah asee, labda tofauti itakuwa kwenye allowances plus si naskia Hawa ma TA Huwa wanasoma na masters for free pale wanapoenda kuanza kupinga kazi labda hiyo pia huchangia.Sio tu customs officer hata Tax mgt officer pia anakunja parefu kuliko TA.