Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Aisee imekua kheri sana ngoma haijakesha sana [emoji120], sikuwahi kupambania mrija utumish yaan imekua mara ya kwanza na ndo nimepenya hapo hapo. Kwa hakika yanawezekana Alhamdulilah.
Nilikuwa namjibu huyo wizy mwenye new version aisee.

Kumbe umelamba asali placement leo? What a good moment! Hongera sana. Tunafarijika sana kuona tuliopo humu tunalamba Asali mdogo mdogo.

Kila la kheri na mtumishi mwema!
 
sijawai tumia jf na sielewi sheria zao zipoje this dec ni mara yangu ya kwanza kujiunga. Na jf hivo mm ni mgeni humu. Siku niliopost kwa mara ya kwanza niliona wanadai kuwa ujumbe wangu hauonekani kwa umma mpka mod watapo upitia, so nikahis sijawa approved leo ndo first time natuma ujumbe unaonekana direct bila kupitishwa na mod sometime text yangu ilikuwa ina kaa lisaa haijaonekana ndo mod wanaipitisha kwa umma. So mm ukiniita wizy unani kosea sana na pia vp kama mm sio wizy na text zote izi ambazo unataka kuthibitisha mm n wizy nafikir sio sawa huwez jua kijana anachangamoto gani tusiwe wa haraka kusema kijana kashindwa kuhimili matokeo ya wakandaji😅.

Kwa mtu mgeni kabisa jf afu moja kwa moja uupate huu uzi ki urahisi na kujua maneno kama kukandwa n.k ni ngumu sana.
 
Halafu naona utakuwa unacheka sana jinsi unavyotujibu hivi.

Sisi tushahitimisha mkuu, wala hatukuingilii wewe maamuzi yako japo wengi humu walikuwa na shauku ya kuleta mrejesho wa placement kama ulipata au la maana tulikuwa tayari kupokea habari yoyote ile maana lazima ingekuja habari ya aina moja kati ya aina 2 ambazo zingeweza kutokea.

Kama ungepata tungefurahia wote na pongezi nyingi kama tunavyofanya kwa wengine (Ahmet meck pro Cvez n.k)

Pia kama ungekosa tungetiana moyo kama kawaida yetu, Ahmet alikosa Muhas, Muce alikuja hapa tukamtia moyo, tulimwambia atapata IAE, wewe ulikuwa kinara wa kumwambia hivyo na kweli alikuja kupata.

So pongezi zetu na hamasa zetu za kutia moyo ukaamua uzikimbie, tulikutafuta kwa udi na uvumba mwisho wa siku tukaamua kukubaliana na hali na life likasonga mbele.
Kweli kaka hizi saili Kuna kupata na kukosa. Vyovyote iwavyo ni Bora kutoa mrejesho. Hii huwapa tumaini watu wengine
 
Wakuu Hivi mshahara wa wa Tutorial Assistant wa scale ya PUTS 1.1 wa chuo kikuu kwa wale wanaoenda kufundisha masomo ya uchumi, huu mshahara Huwa ni sh ngapi ? I mean basic salary ikoje ? na na net salary baada ya kukatwa kila kitu pamoja na deni la bodi ya mkopo ikoje ?.
 
Wakuu Hivi mshahara wa wa Tutorial Assistant wa scale ya PUTS 1.1 wa chuo kikuu kwa wale wanaoenda kufundisha masomo ya uchumi, huu mshahara Huwa ni sh ngapi ? I mean basic salary ikoje ? na na net salary baada ya kukatwa kila kitu pamoja na deni la bodi ya mkopo ikoje ?.
Mshaara wa PHTS1 ni 1,430,000 Sasa sijajua wa PUTS 1.1, basic salary
 
Back
Top Bottom