Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa namjibu huyo wizy mwenye new version aisee.Aisee imekua kheri sana ngoma haijakesha sana [emoji120], sikuwahi kupambania mrija utumish yaan imekua mara ya kwanza na ndo nimepenya hapo hapo. Kwa hakika yanawezekana Alhamdulilah.
Switch Id tuliyoizoea mkuuHongera sana kiongozi. Kaka tupe mrejesho wa status app na web basi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Msimshambulie jamaaa huenda sio wizy hahahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dah! Sisemi kitu
Mambo yatakaa sawa kuanzia January mkuu, endelea mishe zingine kama kawaidaTaasisi yangu wahuni tu hao
Amejisahau kaingia kingi mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mjasili haachi asili.
Ngoja nihifadhi maneno.
sijawai tumia jf na sielewi sheria zao zipoje this dec ni mara yangu ya kwanza kujiunga. Na jf hivo mm ni mgeni humu. Siku niliopost kwa mara ya kwanza niliona wanadai kuwa ujumbe wangu hauonekani kwa umma mpka mod watapo upitia, so nikahis sijawa approved leo ndo first time natuma ujumbe unaonekana direct bila kupitishwa na mod sometime text yangu ilikuwa ina kaa lisaa haijaonekana ndo mod wanaipitisha kwa umma. So mm ukiniita wizy unani kosea sana na pia vp kama mm sio wizy na text zote izi ambazo unataka kuthibitisha mm n wizy nafikir sio sawa huwez jua kijana anachangamoto gani tusiwe wa haraka kusema kijana kashindwa kuhimili matokeo ya wakandaji😅.
Kweli kaka hizi saili Kuna kupata na kukosa. Vyovyote iwavyo ni Bora kutoa mrejesho. Hii huwapa tumaini watu wengineHalafu naona utakuwa unacheka sana jinsi unavyotujibu hivi.
Sisi tushahitimisha mkuu, wala hatukuingilii wewe maamuzi yako japo wengi humu walikuwa na shauku ya kuleta mrejesho wa placement kama ulipata au la maana tulikuwa tayari kupokea habari yoyote ile maana lazima ingekuja habari ya aina moja kati ya aina 2 ambazo zingeweza kutokea.
Kama ungepata tungefurahia wote na pongezi nyingi kama tunavyofanya kwa wengine (Ahmet meck pro Cvez n.k)
Pia kama ungekosa tungetiana moyo kama kawaida yetu, Ahmet alikosa Muhas, Muce alikuja hapa tukamtia moyo, tulimwambia atapata IAE, wewe ulikuwa kinara wa kumwambia hivyo na kweli alikuja kupata.
So pongezi zetu na hamasa zetu za kutia moyo ukaamua uzikimbie, tulikutafuta kwa udi na uvumba mwisho wa siku tukaamua kukubaliana na hali na life likasonga mbele.
Oya wewe hujaanza kazi???Kweli kaka hizi saili Kuna kupata na kukosa. Vyovyote iwavyo ni Bora kutoa mrejesho. Hii huwapa tumaini watu wengine
Bado hatujaitwa kaka yaani naona kuchelewaaaOya wewe hujaanza kazi???
Hakuna Kuna vyuo wanajenga Kwa taarifa niliyopata havijakamlika asilimia mia so mambo Bado bila bila mkuuuMambo yatakaa sawa kuanzia January mkuu, endelea mishe zingine kama kawaida
Vip stress ushazizoea au Bado kidogo nikupe mbinu za kivitaBado hatujaitwa kaka yaani naona kuchelewaaa
Mshaara wa PHTS1 ni 1,430,000 Sasa sijajua wa PUTS 1.1, basic salaryWakuu Hivi mshahara wa wa Tutorial Assistant wa scale ya PUTS 1.1 wa chuo kikuu kwa wale wanaoenda kufundisha masomo ya uchumi, huu mshahara Huwa ni sh ngapi ? I mean basic salary ikoje ? na na net salary baada ya kukatwa kila kitu pamoja na deni la bodi ya mkopo ikoje ?.
Nipe nipe kaka, ila Sasa hivi nmeanza kuona kawaidaVip stress ushazizoea au Bado kidogo nikupe mbinu za kivita
Yeah yameshanivutia uziUmeitwa kuanza job mkuu???
Sawa mzeee Kuna watu humu hawajui ugumu uliopo kwenye Kusubr kupigiwa simu I wish wangejua wanachukulia simple sana omba January uingie mzigoni usiwe kama sie tunaenda mwezi wa Tano sasa kimyaNope nope kaka, ila Sasa hivi nmeanza kuona kawaida
Dah hongera mkuu sie acha tuendelee Kusubr tuYeah yameshanivutia uzi