Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Puts 1.1 basic ni 1,692,000 .bodi hawajaanza kutukata take home ni 1.2M na nusu na ushee hapo bodi ya mkopo hawapo nadhani wataanza kukata mwezi wa saba
 
Taasisi yenu miyeyusho sana, wengi wao ndani ya mwezi tu toka placement wanakua kazini.
Ndo ivyo Sasa hakuna jinsi now so ajabu hata wakikuita Kazini unakuta hata mambo ya mshahara ndo wananza kufanya process then unafany job miezi 3 bila hela unabaki kushangaaa miezi yote mitano nyuma walikua wanafanya nn?
 
Switch Id tuliyoizoea mkuu
Kuna uzi kule MMU kuna manzi analalamika kuna member wa jf alikuwa anamuheshimu sana hadi wakapanga kuonana na ikawa hvyo.

Kufupisha stori jamaa akamla kimasihara😄😄😄 afu akamtelekeza lodge huku bills za chumba, chakuka na vinywaji zikiwa bado kulipwa.

Sasa kwa bwana huyu wizy kuja na version mpya ananpa mashaka sana nikiunganisha dots.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…