Hakuna kusoma free unajilipia au tafuta scholarshipsYeah asee, labda tofauti itakuwa kwenye allowances plus si naskia Hawa ma TA Huwa wanasoma na masters for free pale wanapoenda kuanza kupinga kazi labda hiyo pia huchangia.
Kwani customs officer na tax management officer mishahara Yao baada ya makato,I mean net salary zao ni kiasi Gani ?Usishangae mkuu, afu kwa hali ya kawaida tu majukumu ya customs officer ni makubwa kuliko hao TA
Duhh! Kwahiyo kwenye Ile Job Description pale wanaposema kuwa Moja ya majukumu ya TA ni kuandergo masters training program, kumbe Ile program na unajilipia mwenyewe ?Hakuna kusoma free unajilipia au taguta scholarships
TA sio kazi ukiwa nayo ila kama ndio unatafuta TA ni kazi nzuri mnoDuhh! Kwahiyo kwenye Ile Job Description pale wanaposema kuwa Moja ya majukumu ya TA ni kuandergo masters training program, kumbe Ile program na unajilipia mwenyewe ?
That means salary itazidi kupungua.
Kumbe TA sio kazi za ishu wadau,halafu wanaziwekea GPA kubwa kumbe mishahara ni midogo, but I'm not surprised it's kinda related to education field na wote tunajuwa walimu Huwa wanapata visalary vidogo sana.
Kazi njema mkuu, naona mumevutiwa waya(simu) mkaripoti na kuanza kazi.
Mna bahati sana mumeitwa mapema, wenzenu akina meck pro bado wanasugua bench na barua zao wanasubiri kuvutiwa waya.
Kitu ambacho hamna uwakika nacho 100% sio sawa kukishikiria, yanini kumuhukumu mtu ili hali hakuna ushaidi, mimi sio wizy but baada ya kuitwa wizy nimepitia comment zake so naelewa kinachoendelea humu ndani and even how he comments kwenye uu uzi.Kuna uzi kule MMU kuna manzi analalamika kuna member wa jf alikuwa anamuheshimu sana hadi wakapanga kuonana na ikawa hvyo.
Kufupisha stori jamaa akamla kimasihara😄😄😄 afu akamtelekeza lodge huku bills za chumba, chakuka na vinywaji zikiwa bado kulipwa.
Sasa kwa bwana huyu wizy kuja na version mpya ananpa mashaka sana nikiunganisha dots.
WADAU🛑 WADAU🛑WADAU🛑WADAU
Nina swali Moja namba mnisaidie kupata majibu please.
Wadau hebu tuassume mtu umeomba kazi kwenye Taasisi mbili, Moja ni Chuo kikuu ambapo umeomba post ya TUTORIAL ASSISTANT na nyingine ni Taasisi ya kawaida ya serikali ambayo umeomba post ya MCHUMI.
Halafu ikatokea mfano mtu umeitwa kazini kwenye hiyo post ya TUTORIAL ASSISTANT ambapo baada ya muda ukaitwa kwenda kuchukua barua.
Mara baada ya kuchukua barua ukaitwa tena kwenye interview nyingine ya Taasisi nyingine hiyo ambayo uliomba post ya MCHUMI ambayo hapa sasa sio Taasisi ya ufundishaji ila nako ukaenda ukapiga interview ukatoboa mpaka oral.
Sasa swali langu ni Je kama ukitoboa mpaka Oral na oral pia ukafanya poa Je unaweza kuitwa kazini ilihali tayari ulishaenda kuchukua barua ya Ufundishaji ya post ya TUTORIAL ASSISTANT ambayo uliichukua chuoni ?
Na Je what if mtu umeanza kazi ya TUTORIAL ASSISTANT, let's say una miezi mitatu tokea uanze kazi je hapo inawezekana kwenda kuomba kazi ajira portal na kupita written na oral na kuitwa kazini ukapige kazi kama MCHUMI ilihali una miezi mitatu tu tokea uanze kazi chuoni kama TUTORIAL ASSISTANT?
Naombeni majibu kwa anayefahamu please🙏
Asante sana Mkuu.Hayo yote uliouliza yanawekena.
Wanaofanya usaili PSRS sio wote ma jobless, kuna watumishi wengi sana wa serikali na taasisi binafsi. Kwa watumishi wa serikali ni lazima waombe kibali kwa mwajili wao na lazima uambatanishe barua ya mwajili.
Na ikitokea umepata kazi taasisi nyingine ya serikali na ukiwa bado ni mtumishi wa serikali hilo pia linawezekana ku switch kama tu ulifata taratibu za mtumishi wa umma kuomba kazi nyingine serikalini.
Mkuu, umepata kazi kwenye huu mkeka wa Leo.? Na vp kuhusu hyo Received yako iliyobaki ni ya taasisi gani..?Asante sana Mkuu.
Sasa unaambatanisha barua ya mwajiri wakati unaomba mle kwenye system ya ajira portal au wakati wa kwenda kwenye interview ndo unaenda na barua ya mwajiri ?
Maana mi niliomba kazi mbili sehemu tofauti moja nimetusua na ndo natakiwa nikafate barua na wakati nyingine ndo nasubiria call for interview.
Sasa kama nitaitwa kwenye interview nyingine ambayo wakati naomba sikuwa nimepata kazi, hapo barua ya mwajiri itahitajika niwe nayo ?
Maana mi sijajiriwa bado ila ndo nmeanbiwa nkafuate barua. Na what If nikaja kuitwa kwenye interview wakati nipo kazini tayari nshakamilisha process za kuajiriwa, je hapo natakiwa niwe na barua ya mwajiri wakati wa kwenda kwenye interview ilihali wakati naomba hiyo kazi sikuwa nimeajiriwa ?
Sorry mkuu kama nakusumbua ni katika process za kutaka kueleweshwa tu✌️
Yap boss, nimetoboa asee, na received iliyobaki ni ya TPDC.Mkuu, umepata kazi kwenye huu mkeka wa Leo.? Na vp kuhusu hyo Received yako iliyobaki ni ya taasisi gani..?
Kuna uzi kule MMU kuna manzi analalamika kuna member wa jf alikuwa anamuheshimu sana hadi wakapanga kuonana na ikawa hvyo...
Hyo uliyopata Leo huipendi..? Kama unaipenda sioni ulazima wa kwenda kufanya Usaili tena hata ukiitwa..Yap boss, nimetoboa asee, na received iliyobaki ni ya TPDC.
Ni kweli uyasemayo boss, Sema TPDC ndo ilikuwa priority yangu plus nilikopata ni mbali sana na sio maeneo ambayo ningependa kufanya kazi though nitaenda hivyo hivyo koz ni Bora kitu kuliko kutokuwa na kitu, ila nmeuliza tu Ili nione kama Kuna possibility ya kupiga na ya TPDC.Hyo uliyopata Leo huipendi..? Kama unaipenda sioni ulazima wa kwenda kufanya Usaili tena hata ukiitwa..
Binafsi naona kama umepata kituo na taasisi umependa Haina Haja ya kuchoma manauli tena kupambania saili zingine.. waachie tu Wanna nao wapate Ridhiki japo kinda kwako hakuna guarantee ya kupata kazi Moja Kwa moja
Kupiga hapo ni ww tu Wala hukatazwiNi kweli uyasemayo boss, Sema TPDC ndo ilikuwa priority yangu plus nilikopata ni mbali sana na sio maeneo ambayo ningependa kufanya kazi though nitaenda hivyo hivyo koz ni Bora kitu kuliko kutokuwa na kitu, ila nmeuliza tu Ili nione kama Kuna possibility ya kupiga na ya TPDC.
Sawa boss, kwahiyo kama ikatokea nikaitwa TPDC naenda tu kama ilivyo kawaida sitohitaji kuwaonyesha barua ya mwajiri, maana up to now sijajiriwa bado ila ntaenda kuchukua barua tu.Kupiga hapo ni ww tu Wala hukatazwi
Taasisi/Mwajiri ni naniYeah yameshanivutia uzi
Taasisi au shirika la umma linalozalisha fedha mshahara huwa mkubwa mfano B.O.T , TRA, BRELA, TPA, EWURA, NCAA, TANESCO n.kSo kumbe customs officer wa TRA anapokea mshahara mnono kuliko Hawa TUTORIAL ASSISTANTS wa Chuo ?
Kweli yatupasa tukaze wakuu.
Kwa nini hawajaanza kukata? au huwa kuna time frame tangu uanze kazi na kuanza kupokea mshahara ndipo wao waanze kukata?Puts 1.1 basic ni 1,692,000 .bodi hawajaanza kutukata take home ni 1.2M na nusu na ushee hapo bodi ya mkopo hawapo nadhani wataanza kukata mwezi wa saba
Hahahahaaa.Kuna uzi kule MMU kuna manzi analalamika kuna member wa jf alikuwa anamuheshimu sana hadi wakapanga kuonana na ikawa hvyo.
Kufupisha stori jamaa akamla kimasihara[emoji1][emoji1][emoji1] afu akamtelekeza lodge huku bills za chumba, chakuka na vinywaji zikiwa bado kulipwa.
Sasa kwa bwana huyu wizy kuja na version mpya ananpa mashaka sana nikiunganisha dots.