Mwaisa1202
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 482
- 1,076
Ndio TA ni lazima kusoma masters na ada analipiwa na chuo, hata fursa ya kusoma ulaya au america huko zipo nje nje. Lakini upande wa maslai bado mfanyakazi wa TRA wenye BACHELOR anamzidi maana hata baada ya kusoma mastarz miezi 18 au 24 ukimaliza ndio unakuwa ASSISTANT LECTURER BASIC SALARY NI 2M na laki 5.Yeah asee, labda tofauti itakuwa kwenye allowances plus si naskia Hawa ma TA Huwa wanasoma na masters for free pale wanapoenda kuanza kupinga kazi labda hiyo pia huchangia.
Kwa nini nipigwe preperesu lakini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe kweli ni Wizy hata kama utakataa ila wewe nj wizy. Jamani huyu ni yeye narudia ni yeye in T.I.D voice.
Ila yoye ya yoye kuwa wazi tu mie mbona nimepigwa ndoige Placements ile ya mwisho kutoka ya tarehe 12 bado nipo humu pia kuna wengi tu wamepigwa/tumepigwa ndoige bado tupo na wengine mfano Prok amepigwa PERESUPERESU na TRA ila bado yupo na wengine wengi tu... Rudi mzee baba kwa id yeko ya awali bhana.
Anapokea ngapi Customer?So kumbe customs officer wa TRA anapokea mshahara mnono kuliko Hawa TUTORIAL ASSISTANTS wa Chuo ?
Kweli yatupasa tukaze wakuu.
TPDC ni patamu mno kuliko hata TRA. ila nakushauri nenda kachukue barua ya ajira kaanze kazi , ukiitwa kwa usaili kafanye, ukipata huko TPDC kachukue barua , kisha utamwandikia barua katibu mkuu utumishi (wizara ya Utumishi) kupitia mwajiri wako wa sasa. Utaambatanisha na barua ya sehemu ulipopata mara ya pili.Yap boss, nimetoboa asee, na received iliyobaki ni ya TPDC.
Mpaka mwajiri (HR) apeleke taarifa zenuKwa nini hawajaanza kukata? au huwa kuna time frame tangu uanze kazi na kuanza kupokea mshahara ndipo wao waanze kukata?
Kwa hiyo HR akiwa mnoko anapeleka taarifa fast na panga linaanza kutembea[emoji3][emoji3][emoji3]Mpaka mwajiri (HR) apeleke taarifa zenu
Hahahahh asee hii dunia sio pouwa uwez mwachia mwenzio 7800 and Uu uzi una fariji sana mm nimefanya interview moja nilijiunga baada ya io interview but uu uzi umeni shape niwe tayar kupokea matokeo yote, nautabiria uu uzi makubwa sana coz sahili zipo kila siku member watalamba asali wataondoka wataachia ambao wanapigania mirija ya asali members wapya.Hahahahaaa.
Au yule alitokea Mwanza akiwa amevalia Tshirt ya Taifa stars, alienda kuachiwa 7800/= na mwamba na kutelekezwa Lodge
Tuombe uzima, siku nikiwa ok nitapita K/koo kuja kukuungisha.Kwa nini nipigwe preperesu lakini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mimi ata nikiacha kuapply kazi mtakuwa mnaniona humu, msiache tu nisupport kwenye business zangu nkapotea kabisa[emoji1787]
Ndio lakini bora tu awai kupeleka maana ukichelewa kuanza kukatwa kuna penalty. Pia utake usitake utalipa tu so bora uanze kukatwa mapema kabla majukumu hayajawa makubwa pia ukiziea kupokea 1m kisha baada ya mwaka uanze kupokea laki 7.5 lazima utavurugwa.Kwa hiyo HR akiwa mnoko anapeleka taarifa fast na panga linaanza kutembea[emoji3][emoji3][emoji3]
Sawa mkuu wizy tuendelee kupambanaHahahahh asee hii dunia sio pouwa uwez mwachia mwenzio 7800 and Uu uzi una fariji sana mm nimefanya interview moja nilijiunga baada ya io interview but uu uzi umeni shape niwe tayar kupokea matokeo yote, nautabiria uu uzi makubwa sana coz sahili zipo kila siku member watalamba asali wataondoka wataachia ambao wanapigania mirija ya asali members wapya.
sawa mkuuNdio lakini bora tu awai kupeleka maana ukichelewa kuanza kukatwa kuna penalty. Pia utake usitake utalipa tu so bora uanze kukatwa mapema kabla majukumu hayajawa makubwa pia ukiziea kupokea 1m kisha baada ya mwaka uanze kupokea laki 7.5 lazima utavurugwa.
Asante sana mkuuTPDC ni patamu mno kuliko hata TRA. ila nakushauri nenda kachukue barua ya ajira kaanze kazi , ukiitwa kwa usaili kafanye, ukipata huko TPDC kachukue barua , kisha utamwandikia barua katibu mkuu utumishi (wizara ya Utumishi) kupitia mwajiri wako wa sasa. Utaambatanisha na barua ya sehemu ulipopata mara ya pili.
ShukraniNdio TA ni lazima kusoma masters na ada analipiwa na chuo, hata fursa ya kusoma ulaya au america huko zipo nje nje. Lakini upande wa maslai bado mfanyakazi wa TRA wenye BACHELOR anamzidi maana hata baada ya kusoma mastarz miezi 18 au 24 ukimaliza ndio unakuwa ASSISTANT LECTURER BASIC SALARY NI 2M na laki 5.
Taasisi au mashirika Yana tengeneza faida huwa na mishahara na marupupu ya kushatu, mfano ewura, nhif, tra, tpa, tanapaSo kumbe customs officer wa TRA anapokea mshahara mnono kuliko Hawa TUTORIAL ASSISTANTS wa Chuo ?
Kweli yatupasa tukaze wakuu.
Halafu wakati ushaanza kazi kama TA, halafu ukapata kazi let's say ndani ya mwaka baada ya kuanza kazi as a TA that means Bado masters yako unakuwa hujaimaliza, vipi unaweza kwenda kupiga kazi kwingine huku ukiendelea kupiga masters yako hata kwa kujiliplia mwenyewe, au na hiyo masters yako nayo inasitishwa mara moja baada ya kubadili kazi ?Ndio TA ni lazima kusoma masters na ada analipiwa na chuo, hata fursa ya kusoma ulaya au america huko zipo nje nje. Lakini upande wa maslai bado mfanyakazi wa TRA wenye BACHELOR anamzidi maana hata baada ya kusoma mastarz miezi 18 au 24 ukimaliza ndio unakuwa ASSISTANT LECTURER BASIC SALARY NI 2M na laki 5.
Karibu sana, kuna muda nawaza hivi nkipataga kazi biashara yangu namuachia nani, nawaza nakuwazuaTuombe uzima, siku nikiwa ok nitapita K/koo kuja kukuungisha.
Sikumbuki kama nilifanya shopping lini, inabidi sasa niplan kashopping cha kifamilia ndani ya koti la ujobless na mimi niweze kupiga hata selfie na Junior wangu[emoji3][emoji3]
Unawesa tu cha msingi uwe na ada, maana wao wanaweza kusitisha kukulipia. Halafu uzuri wa chuo kikuu hasa masters una postpond tu, ukiwa vyema kiuchumi unaanzia ulupoishia. All in all kapige kazi kaka hata huko sio pabaya kuna project nyingi tu za kukuingizia hela ....cha msingi ukifika soma masters fasta zen phd chuo ndio kunakulipia ada. Nb kama huna passport ya kusafiria tafuta mapema maana wengi wanasoma nje ya nchi scholarship zakumwaga. Pia uzuri wa kazi hii unakuwa na muda mwingi wa kufanya mambo yako unaenda kazini pale unapokuwa na vipindi tu au kama kuna kazi maalum mfano kumark, n.k tofauti na ukiwa KWENYE hayo mashirika ya umma unatumika kweli kweli una muda wa kujiachia kufanya mishe zakoHalafu wakati ushaanza kazi kama TA, halafu ukapata kazi let's say ndani ya mwaka baada ya kuanza kazi as a TA that means Bado masters yako unakuwa hujaimaliza, vipi unaweza kwenda kupiga kazi kwingine huku ukiendelea kupiga masters yako hata kwa kujiliplia mwenyewe, au na hiyo masters yako nayo inasitishwa mara moja baada ya kubadili kazi ?
Shukrani kaka, umenipa mwangaza, ngoja nikakomae, plus I also had a plan ya kwenda abroad na naona kama huku Kuna kaupenyo Cha wazi kidogo.Thanks👊👍✌️Unawesa tu cha msingi uwe na ada, maana wao wanaweza kusitisha kukulipia. Halafu uzuri wa chuo kikuu hasa masters una postpond tu, ukiwa vyema kiuchumi unaanzia ulupoishia. All in all kapige kazi kaka hata huko sio pabaya kuna project nyingi tu za kukuingizia hela ....cha msingi ukifika soma masters fasta zen phd chuo ndio kunakulipia ada. Nb kama huna passport ya kusafiria tafuta mapema maana wengi wanasoma nje ya nchi scholarship zakumwaga. Pia uzuri wa kazi hii unakuwa na muda mwingi wa kufanya mambo yako unaenda kazini pale unapokuwa na vipindi tu au kama kuna kazi maalum mfano kumark, n.k tofauti na ukiwa KWENYE hayo mashirika ya umma unatumika kweli kweli una muda wa kujiachia kufanya mishe zako
We ukifika tu hapo na kuzoeana na watu wa department yako waulize wale wenye masters na phd umesoma wapi ...ukiuliza kazi ya 10 lazima 6 au zaidi kati ya hao wengi watakujibu wamesoma mbele kama sio masters basi phd ....ni mara chache sana mtu (walimu wa vyuo vikuu) kusoma degree ya 1 bongo, masters bongo na phd bongo ni nadra sana. Nakuomba ukifika fanya utafiti na uje utupe ushuhuda humuShukrani kaka, umenipa mwangaza, ngoja nikakomae, plus I also had a plan ya kwenda abroad na naona kama huku Kuna kaupenyo Cha wazi kidogo.Thanks[emoji109][emoji106][emoji3577]
Shukrani sana mkuu 🙏We ukifika tu hapo na kuzoeana na watu wa department yako waulize wale wenye masters na phd umesoma wapi ...ukiuliza kazi ya 10 lazima 6 au zaidi kati ya hao wengi watakujibu wamesoma mbele kama sio masters basi phd ....ni mara chache sana mtu (walimu wa vyuo vikuu) kusoma degree ya 1 bongo, masters bongo na phd bongo ni nadra sana. Nakuomba ukifika fanya utafiti na uje utupe ushuhuda humu