Unawesa tu cha msingi uwe na ada, maana wao wanaweza kusitisha kukulipia. Halafu uzuri wa chuo kikuu hasa masters una postpond tu, ukiwa vyema kiuchumi unaanzia ulupoishia. All in all kapige kazi kaka hata huko sio pabaya kuna project nyingi tu za kukuingizia hela ....cha msingi ukifika soma masters fasta zen phd chuo ndio kunakulipia ada. Nb kama huna passport ya kusafiria tafuta mapema maana wengi wanasoma nje ya nchi scholarship zakumwaga. Pia uzuri wa kazi hii unakuwa na muda mwingi wa kufanya mambo yako unaenda kazini pale unapokuwa na vipindi tu au kama kuna kazi maalum mfano kumark, n.k tofauti na ukiwa KWENYE hayo mashirika ya umma unatumika kweli kweli una muda wa kujiachia kufanya mishe zako