Samson mwigune
Senior Member
- Aug 15, 2022
- 110
- 279
[emoji2][emoji2][emoji2]Inaweza ikatupiwa placement moja ya kulalia hata saa tatu na nusu mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante kwa kutupa moyo mkuu
Asante mkuuHints za kufaulu Oral Interview za Sekretariet ya Utumishi wa Umma
Unapofanikiwa kufaulu written/alternative practical na kwenda hatua ya oral interview Basi jiandae hivi unapokuwa mbele ya panel 1.kama kada yako inahusisha kazi ambazo Mara nyingi mtakuwa site Basi vaa kawaida usivae suti ukawa smart Sana kupitiliza. vaa viatu vya site Kama Ni boot,cardet n.k...www.jamiiforums.com
Pitia pitia na hapo
Nasikia uchungu Sana wapambanaji wenzangu ambao Bado hamjapata nafasi...ila ukweli NI kwamba Huku makazini wazee wengi wanastaafu so Ajira Lazima TU wawepo wa kureplace.komaeni Sana na data na vifaa kutegemea na fani yako...of course me nimeingia kwa Utechnian sijui mwenzang kada yako niniAsante mkuu
Mungu akubariki zaidi kiongoziNasikia uchungu Sana wapambanaji wenzangu ambao Bado hamjapata nafasi...ila ukweli NI kwamba Huku makazini wazee wengi wanastaafu so Ajira Lazima TU wawepo wa kureplace.komaeni Sana na data na vifaa kutegemea na fani yako...of course me nimeingia kwa Utechnian sijui mwenzang kada yako nini
Hongera sana, hukuamini ila maajabu yakawa upande mzuri.Nimepitia kwenda oral dah kwenye account tayari ngoja nisubr mkeke sijui nimepata hamsin na ngapi duh utumishi wamedandia mtumbi wa vibengo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kada zingine kama Afya kutunga majibu ni kazi. Jibu kama ni mdudu fulani, ukijitungia mdudu mwingine unakandwa bila huruma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni noma kumbe now ni mwendo wa kujitungia tu majibu unaweza ukafaulu tu aisee usiache swali kwa kweli
Kweli hizo hakuna kutunga kwa kweli aiseee noma sana hizo kadaKada zingine kama Afya kutunga majibu ni kazi. Jibu kama ni mdudu fulani, ukijitungia mdudu mwingine unakandwa bila huruma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hilo kweli maana tumeona Vyuo wanaendesha michakato ndani ya mwezi mmoja then watu wanakabidhiwa Cheque numberAisee Mkuu, leo nilikuwa eneo fulani akawepo mkuu wa chuo fulani hapa Dar, yule Proff alikuwa analalamika namna Utumishi wanachelewesha sana kuwatimizia hitaji lao.
Anadai walipeleka madai ya watumishi 50 tangu mwezi February, na walipanga kwamba mpaka sasa wangekuwa wameshawapata hao walimu ili wawe na uhakika wa kuanza nao mwaka mpya wa masomo 2022/2023, ila cha ajabu ndio kwanza wanahangaika na written.
Mpaka akafikia kusema, aliwashawishi sana, waache chuo chenyewe kisimamie ila Utumishi wakagoma.
Hapa ndipo nikaamini tatizo haliko kabisa kwenye taasisi zenye mahitaji, liko Utumishi.
😂😂😂😂Hata oral zake ni ngumu sana aiseehKada zingine kama Afya kutunga majibu ni kazi. Jibu kama ni mdudu fulani, ukijitungia mdudu mwingine unakandwa bila huruma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unatu inspire sana ilikuwa kada gani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni noma kumbe now ni mwendo wa kujitungia tu majibu unaweza ukafaulu tu aisee usiache swali kwa kweli
Tulikua watu mchanganyiko mkuu
Duuh aiseh research mlitolewaje km ilikuepo na mlikuwa kada zipiTulikua watu mchanganyiko mkuu
Duuh aiseh research mlitolewaje km ilikuepo na mlikuwa kada zipi
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ratiba ya sahili inaisha mwezi huu mwishoni. Mikeka ya sahili ilipotoka kuanzia tarehe 30, August tarehe zilipangwa hadi mwezi huu uishe.
Kwa sasa mikeka maarufu iliyobaki ni MGA & LGA, NAOT, Legal(kama sikosei), TRA, MUHAS n.k, hii ni mikeka mikubwa naitabiria kupangiwa ratiba kuanzia mwezi ujao.
Ingekuwa naflow hivi hata kwenye written, udenda ungekuwa unachuruzika mbele ya mrija wa AsaliHahaha, Mkuu umechambua Kitaalamu sana.
Hilo kweli maana tumeona Vyuo wanaendesha michakato ndani ya mwezi mmoja then watu wanakabidhiwa Cheque number
Umesahau na LOAN BOARD (HESLB)Hahaha, Mkuu umechambua Kitaalamu sana.