Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mie nilikupa Pepa jana umezingua mwenyewe tu Kikubwa mapambano yaendeleee
 
Pole mwanangu ni sehemu ya mapambano. Sio mwisho wa life bro
 
Kuna watu walikuwa wanajitolea TRA ila ulipo fika wakati wa pepa la utumishi wameambulia marks za viatu, ila cha msingi ni kutokukata tamaa utumishi kupita ni bahati na experience za kutosha.

Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Kiukweli watakaopita wana haki hii mitihani ni migumu mungu atusaidie nasisi tupate matumaini mapya
 
Mapambano yaendeleee anajua Sema kapanic kidogo tu angetulia angepata
Unajua nilichojifunza, kujua mambo ni swala moja, kujua techniques za kukamilisha mipango ya kupenya katika kidimbwi cha asali, ni jambo lingine.

Wakali wa hizi mambo msisite kutoa trick katika moja na mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…