Subiri matokeo Mkuu utakula asaliUnaweza kua unajua ila pepa za utumishi zikakufanya uonekane hujui kwa sababu ya umakini kweli mimi ni wa kushindwa kujiongeza ili uweze kuaccess server lazima uwe na network zaidi ya masaa mawili
Nilitaman sana kuajiriwa TRA ila ndo hivyo jahazi la matumani ndo linazama bye wazeee sitajihusisha na huu uzi tena .
We mzee hautapotea, najua utajikataa kama umepata, halafu, utaanza kuchangia kutoa uzoefu zaidi ya nn kifanyike kuwakanda wakandaji.Hahahahaaa, Daah.
God forbide!
Kwa Rickboy Nina kama mwezi sijatembelea kabisa 🤣🤣🤣🤣We mzee hautapotea, najua utajikataa kama umepata, halafu, utaanza kuchangia kutoa uzoefu zaidi ya nn kifanyike kuwakanda wakandaji.
Ukishashikika na majukumu kukabiliana na madudu ya halmashauri huko, utapotea kabisaa, mara chache utaonekana kwa Rickboi
Sas hivi bado hujapata content ya kuchangia kule, trip town, trip pori.Kwa Rickboy Nina kama mwezi sijatembelea kabisa 🤣🤣🤣🤣
Hivi hii Haina miaka 30 Kwa hawa wanafunzi wangu maana Nina mipango nao nisije nikaangukia pua ??Sas hivi bado hujapata content ya kuchangia kule, trip town, trip pori.
Ngoja upokee 📞📲, upate na fursa ya kucheza na wanafunzi wako,. 🤣😂
Kuna jamaa waliosomea "cuba", wanajua mpaka namna ID fulani inavocheka, 🤣🤣🤣.Hivi hii Haina miaka 30 Kwa hawa wanafunzi wangu maana Nina mipango nao nisije nikaangukia pua ??
Sema nitakuja na ID MPYA kule kuleta story then sitataja chuo nitakua nasema hapa Kazini kwangu hotelini napofanya kazi ya ulinzi🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 Wazeee wa kumkamta wizy hatariKuna jamaa waliosomea "cuba", wanajua mpaka namna ID fulani inavocheka, 🤣🤣🤣.
Wataunga michango mitatu katika nyuz tofauti, utajulikana mapeema.
Jamani msibishane hapo kwenye wote kupata kazi asilimia kubwa kazi za TRA (ICT) wanaoingiaga ORAL wote huwa wanalamba asali wazeee hao jamaaa wanahitaji kupata hamsini (50) Tu basi wakale maisha
Siyo kweli. Database pia kuna watu wapo pending.Hao watu wa ICT TRA watapata kazi wote, maana oral wameitwa 48 tu, na post ilikua inataka watu 50 tu.
Hahahahaaa, mimi siondoki mkuu hata kama nikipata mrija wa Asali.Kutojihusisha na uzi huu, mpaka uwe approved kufanya hivyo baada ya kukutana na mrija, HS Code, ndio hu-approve hiyo. So far, tuendelee kupambana na kujihusisha na uzi huu.
Mpaka sasa waliokua approved kutojihusisha na uzi huu na bwn. HS Code ni kama ifuatavyo;
Meck pro ✓
Ahmet ✓
Cvez ✓
Walioko- pending,
Mwifa
Mosses2015
Prock
Katika furaha ninayoisubiri ni kuona jina langu kwenye placement na furaha hiyo lazima niioneshe humu humu.We mzee hautapotea, najua utajikataa kama umepata, halafu, utaanza kuchangia kutoa uzoefu zaidi ya nn kifanyike kuwakanda wakandaji.
Ukishashikika na majukumu kukabiliana na madudu ya halmashauri huko, utapotea kabisaa, mara chache utaonekana kwa Rickboi
Mimi mwaka jana wote sijatembelea kabisa huko ingawa nauona unatrend sana, nilishautembelea kipindi cha miaka ya 2019 kurudi nyumaKwa Rickboy Nina kama mwezi sijatembelea kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23]Kwa kweli tufarijiane kumbe tupo wengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TUNAOKUMBUKA MAJIBU BAADA YA KUTOKA KWENYE INTERVIEW TUFARIJIANE
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sas hivi bado hujapata content ya kuchangia kule, trip town, trip pori.
Ngoja upokee [emoji338][emoji390], upate na fursa ya kucheza na wanafunzi wako,. [emoji1787][emoji23]
Mungu yu pamoja na wenye kusubir.Katika furaha ninayoisubiri ni kuona jina langu kwenye placement na furaha hiyo lazima niioneshe humu humu.
Kila nilipokuwa nakandwa nilileta mrejesho humu na nilipobahatika kufika oral, nilishare hiyo furaha pia humu.
Sitajitendea haki ya kufurahi humu pamoja na jobless wengine kama nitapata mrija na kukaa kimyaa au nidanganye.
Tuombe Mungu nipate mrija iwe NAOT ninayoisubiri au taasisi nyingine, nitashare hapa hiyo furaha pamoja nanyi humu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi hii Haina miaka 30 Kwa hawa wanafunzi wangu maana Nina mipango nao nisije nikaangukia pua ??
Sema nitakuja na ID MPYA kule kuleta story then sitataja chuo nitakua nasema hapa Kazini kwangu hotelini napofanya kazi ya ulinzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kule hakuna 30 ila utaangukia kwa PCCBHivi hii Haina miaka 30 Kwa hawa wanafunzi wangu maana Nina mipango nao nisije nikaangukia pua ??
Sema nitakuja na ID MPYA kule kuleta story then sitataja chuo nitakua nasema hapa Kazini kwangu hotelini napofanya kazi ya ulinzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna jamaa waliosomea "cuba", wanajua mpaka namna ID fulani inavocheka, [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Wataunga michango mitatu katika nyuz tofauti, utajulikana mapeema.
Unaweza kua unajua ila pepa za utumishi zikakufanya uonekane hujui kwa sababu ya umakini kweli mimi ni wa kushindwa kujiongeza ili uweze kuaccess server lazima uwe na network zaidi ya masaa mawili
Nilitaman sana kuajiriwa TRA ila ndo hivyo jahazi la matumani ndo linazama bye wazeee sitajihusisha na huu uzi tena .