Lukaku marata
JF-Expert Member
- Dec 4, 2019
- 449
- 752
Usisahau kuwarushia jobless hata liteni wakaunge bando, maana furaha zao walizoziandaa kwa muda mrefu ili waje wakupongeze ukaamua uziyeyushe[emoji3][emoji3][emoji3]Mungu yu pamoja na wenye kusubir.
Hujaelewa we unajua network ni Internet tu, simaanishi Internet hakuna mtu anaweza kukupa Internet examination room
Sawa mkuu mtaalamu wa network na internet
Kwenye kanuni sijaona muongozo wa Kuappeal, sijui kama hilo linawezekana. Wanaojua watuambieKuna jamaa yangu prac kapata below 50 na alikuwa na uhakika kabisa na vitu vina run kabisa,anataka kappeal je inawezekana?
Najua shida sijui ilikuaje sikuconnect cable ya network ili niaccess serverIla server ile ilikua locally ni kupiga win+r \\ tia ip imekuja
Kwenye kanuni sijaona muongozo wa Kuappeal, sijui kama hilo linawezekana. Wanaojua watuambie
Hongera mkuu mi sikupata upeo wa kuchomeka cable ya network yaoIla leo internet ilikuepo ukifanikiwa kutengeneza cable ili upate printer mtandao ulikua unakuja wenywe uhakika
Tunajifunza kulingana na makosa, and always there is ""next time"", I hope utakua better zaid next time, kikubwa usiache kujaribu.Hongera mkuu mi sikupata upeo wa kuchomeka cable ya network yao
Kwa nini mkuu, shida ilikua nini?Hongera mkuu mi sikupata upeo wa kuchomeka cable ya network yao
Nadhani kupanic na kutotulia na pia experience ina matter zaidKwa nini mkuu, shida ilikua nini?
Duh noma aiseee hao takukuru balaaaaKule hakuna 30 ila utaangukia kwa PCCB
Mwambie wew labd huyo jamaa ataelwa nilichokua naongea naona kama hatujfnya pepa 1 na huyo mwamba au kfnya eneo tofautiIla leo internet ilikuepo ukifanikiwa kutengeneza cable ili upate printer mtandao ulikua unakuja wenywe uhakika
Kuna dogo kasoma IFM kozi sijui social protection kitu kama hiko...kozi yao sijawahi kuiona kwenye kazi za PSRS.Sema mimi naona bora hata mnaoitwa interview , kuna watu kozi zetu hata ajira portal hazipo. Hata field zetu za kazi hatuzielewi , inshort tupo wahanga tumesoma kozi ambazo hazieleweki na huwa tunawatamani hata nyie ambao mnatambulika na kuitwa kwenye interview
[emoji1][emoji1][emoji1]Kuna dogo kasoma IFM kozi sijui social protection kitu kama hiko...kozi yao sijawahi kuiona kwenye kazi za PSRS.
Nimesema Internet ndio ilikuwepo ila nilichobug sijachomeka cable ya network kwenye computer kuaccess server na printerMwambie wew labd huyo jamaa ataelwa nilichokua naongea naona kama hatujfnya pepa 1 na huyo mwamba au kfnya eneo tofauti
Nani kakosa mkuu..? kutaja majina y@ko, Umri, unakotoka, shule ulizopita au sio..?Oral ya ICT IPO trick kidogo inatakiwa ufatilie Toka mwazo written na practical wametoa nn then uvisome na uelewe
Baada ya hapo unagusa gusa vitu ambavyo havijatoka kabisa kwenye hizo Pepa za nyuma
Cha mwisho ni uzembe kukosa swali la introduce you self wakati unajua lazima ukutane lao na ni swali la kwanza
Kinachobaki mkuu ni Mungu na njia zingine za bibi kutoboa kama kati ya hizo hakuna hata Moja iliyonayo duh basi Matokeo waachie Psrs wao ndo wataamua wakupe kazi au wasikupe🤣🤣🤣
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umenikumbusha mbali sanaMambo sio rahisi namna hiyo, mara zote paper huwa rahisi ukishatoka, au kwa yule ambaye haimuhusu.
Katika kukabiliana na panel kuna ile hali ya kupoteana, faham kamili unakua nazo ukiingia na wakati wa kutoka tu.
Hakuna aliyekosa mkuu mie natoa hints tu Kuna watu wanaingia wakiulizwa Hilo swali wanaanza kubabaika.Nani kakosa mkuu..? kutaja majina y@ko, Umri, unakotoka, shule ulizopita au sio..?
[emoji3][emoji3][emoji3]Kijana wa hovyoHivi hii Haina miaka 30 Kwa hawa wanafunzi wangu maana Nina mipango nao nisije nikaangukia pua ??
Sema nitakuja na ID MPYA kule kuleta story then sitataja chuo nitakua nasema hapa Kazini kwangu hotelini napofanya kazi ya ulinzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]