Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mungu yu pamoja na wenye kusubir.
Usisahau kuwarushia jobless hata liteni wakaunge bando, maana furaha zao walizoziandaa kwa muda mrefu ili waje wakupongeze ukaamua uziyeyushe[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna jamaa yangu prac kapata below 50 na alikuwa na uhakika kabisa na vitu vina run kabisa,anataka kappeal je inawezekana?
Kwenye kanuni sijaona muongozo wa Kuappeal, sijui kama hilo linawezekana. Wanaojua watuambie
 
Ila leo internet ilikuepo ukifanikiwa kutengeneza cable ili upate printer mtandao ulikua unakuja wenywe uhakika
Mwambie wew labd huyo jamaa ataelwa nilichokua naongea naona kama hatujfnya pepa 1 na huyo mwamba au kfnya eneo tofauti
 
Sema mimi naona bora hata mnaoitwa interview , kuna watu kozi zetu hata ajira portal hazipo. Hata field zetu za kazi hatuzielewi , inshort tupo wahanga tumesoma kozi ambazo hazieleweki na huwa tunawatamani hata nyie ambao mnatambulika na kuitwa kwenye interview
Kuna dogo kasoma IFM kozi sijui social protection kitu kama hiko...kozi yao sijawahi kuiona kwenye kazi za PSRS.
 
Mwambie wew labd huyo jamaa ataelwa nilichokua naongea naona kama hatujfnya pepa 1 na huyo mwamba au kfnya eneo tofauti
Nimesema Internet ndio ilikuwepo ila nilichobug sijachomeka cable ya network kwenye computer kuaccess server na printer
 
Oral ya ICT IPO trick kidogo inatakiwa ufatilie Toka mwazo written na practical wametoa nn then uvisome na uelewe
Baada ya hapo unagusa gusa vitu ambavyo havijatoka kabisa kwenye hizo Pepa za nyuma
Cha mwisho ni uzembe kukosa swali la introduce you self wakati unajua lazima ukutane lao na ni swali la kwanza
Kinachobaki mkuu ni Mungu na njia zingine za bibi kutoboa kama kati ya hizo hakuna hata Moja iliyonayo duh basi Matokeo waachie Psrs wao ndo wataamua wakupe kazi au wasikupe🤣🤣🤣
Nani kakosa mkuu..? kutaja majina y@ko, Umri, unakotoka, shule ulizopita au sio..?
 
Mambo sio rahisi namna hiyo, mara zote paper huwa rahisi ukishatoka, au kwa yule ambaye haimuhusu.

Katika kukabiliana na panel kuna ile hali ya kupoteana, faham kamili unakua nazo ukiingia na wakati wa kutoka tu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umenikumbusha mbali sana
 
Hivi hii Haina miaka 30 Kwa hawa wanafunzi wangu maana Nina mipango nao nisije nikaangukia pua ??
Sema nitakuja na ID MPYA kule kuleta story then sitataja chuo nitakua nasema hapa Kazini kwangu hotelini napofanya kazi ya ulinzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3]Kijana wa hovyo
 
Back
Top Bottom