Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Una uhakika gani kapata? Mimi na uhakika kama angepata angekuwa humu, tena kwa furaha. Mimi nahisi alikosa ndio kwa akaona bora hata asije tena
Basi kila mmoja abaki na msimamo wake mkuu kuhusu wizy, haliwezi kuharibika jambo ikiwa hivi
 
Kuna nafasi kazaa zimepanda hewani kule DUCE, watu wa Sayansi kaongezeni received then muendelee na maisha
 
Utafahamika kivipi mkuu?.
Kwan oral ulifanya peke yako?.

Nijuavyo mimi asilimia kubwa hizi id hazionyeshi utambulisho wetu asilia.
Hahahahahhaha😅😅😅😅😅😅,


Halafu kaka hujasoma text zangu zote nahisi. nimesema ningechukuliwa kama normal member with new ID ningesema na subir taasis gani na post gani ila siwez kulingana na pressure niliokutana nayo humu ndani.

Niki mention taasis, post ina ratio ya 1:3 wanawake 2 mwanaume 1 waliotwa oral, akapata mwanaume kazi huwezi jiongeza tu, boy kuna watu wanajua kufukua makabur just kumention taasis unaweza kuta ushafahamika na kama nilivosema kulingana na nature ya post yangu itakua rahisi mtu kunifaham.



Pia mshanifananisha na wizy na alikua active member kapotea from nowhere, hakuna anaejua sababu nini, kitendo cha kunifananisha na mtu ambae sijui mapito yake na situation aliyopo sasa napaswa kua na privacy.
 
Unaendelea kutuongezea point wasomi wa Cuba na unaendelea kupigilia msumari hitimisho langu
 
Hapo hakuna usomi wa cuba. Message ni clear, may b umeamua kutengeneza vitu ambavyo havipo ili uwe msomi wa cuba.
Hata kama ukatae kiasi gani, wewe ndio mwenyewe.

Kikubwa uchape kazi kwa uadilifu mkubwa ili uweze kuokoa maisha ya jamii yetu.

Sisi tunaendelea na subiri na one day yes.
 
Hata kama ukatae kiasi gani, wewe ndio mwenyewe.

Kikubwa uchape kazi kwa uadilifu mkubwa ili uweze kuokoa maisha ya jamii yetu.

Sisi tunaendelea na subiri na one day yes.

Hata kama ukatae kiasi gani, wewe ndio mwenyewe.

Kikubwa uchape kazi kwa uadilifu mkubwa ili uweze kuokoa maisha ya jamii yetu.

Sisi tunaendelea na subiri na one day yes.
Siwez tumia nguvu kuelezea mm sio yey coz ww upo kwenye situation ya msemo hu.

""Ears that do not listen to advice, accompany the head when it is chopped off”.

Endelea kusubiri, Hakika mwenyezi mungu yu pamoja na wenye kusubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…