Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Joline mamboUsikae tamaa ipo siku tutapata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Joline mamboUsikae tamaa ipo siku tutapata.
Basi kila mmoja abaki na msimamo wake mkuu kuhusu wizy, haliwezi kuharibika jambo ikiwa hiviUna uhakika gani kapata? Mimi na uhakika kama angepata angekuwa humu, tena kwa furaha. Mimi nahisi alikosa ndio kwa akaona bora hata asije tena
Hahahaha hii kitu inauma unasubiria placement then unaona mchongo unatangazwa upyaBadala ya kuweka placements zinazosubiriwa na vijana humu.. wao wameamua kuwawekea Re-Advertized vacancies position.
😂😂😂
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sio poa hiyoHahahaha hii kitu inauma unasubiria placement then unaona mchongo unatangazwa upya
Hahaha apa No comment kaka, coz nikitaj tasisi pdf ikitoka ntajulikana kirahis sana kwa nature ya nafasi, na mm napenda privacy
Hahahahahhaha😅😅😅😅😅😅,Utafahamika kivipi mkuu?.
Kwan oral ulifanya peke yako?.
Nijuavyo mimi asilimia kubwa hizi id hazionyeshi utambulisho wetu asilia.
Unaendelea kutuongezea point wasomi wa Cuba na unaendelea kupigilia msumari hitimisho languHahahahahhaha[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28],
Halafu kaka hujasoma text zangu zote nahisi. nimesema ningechukuliwa kama normal member with new ID ningesema na subir taasis gani na post gani ila siwez kulingana na pressure niliokutana nayo humu ndani.
Niki mention taasis, post ina ratio ya 1:3 wanawake 2 mwanaume 1 waliotwa oral, akapata mwanaume kazi huwezi jiongeza tu, boy kuna watu wanajua kufukua makabur just kumention taasis unaweza kuta ushafahamika na kama nilivosema kulingana na nature ya post yangu itakua rahisi mtu kunifaham.
Pia mshanifananisha na wizy na alikua active member kapotea from nowhere, hakuna anaejua sababu nini, kitendo cha kunifananisha na mtu ambae sijui mapito yake na situation aliyopo sasa napaswa kua na privacy.
Labda tusubiri watu wa TRA wamalize ungwe yao tarehe 15, ndipo na wengine ratiba itapangwaKwa hyo hata Call for interview hakuna wiki hii, maana bado watu tuna received huku
Hapo hakuna usomi wa cuba. Message ni clear, may b umeamua kutengeneza vitu ambavyo havipo ili uwe msomi wa cuba.Unaendelea kutuongezea point wasomi wa Cuba na unaendelea kupigilia msumari hitimisho langu
Tu endelee kukwandwa TuBadala ya kuweka placements zinazosubiriwa na vijana humu.. wao wameamua kuwawekea Re-Advertized vacancies position.
😂😂😂
Hata kama ukatae kiasi gani, wewe ndio mwenyewe.Hapo hakuna usomi wa cuba. Message ni clear, may b umeamua kutengeneza vitu ambavyo havipo ili uwe msomi wa cuba.
Boss naomba nikuone PMHata kama ukatae kiasi gani, wewe ndio mwenyewe.
Kikubwa uchape kazi kwa uadilifu mkubwa ili uweze kuokoa maisha ya jamii yetu.
Sisi tunaendelea na subiri na one day yes.
Nmecheka [emoji23][emoji23][emoji23]Hata kama ukatae kiasi gani, wewe ndio mwenyewe.
Kikubwa uchape kazi kwa uadilifu mkubwa ili uweze kuokoa maisha ya jamii yetu.
Sisi tunaendelea na subiri na one day yes.
Hata kama ukatae kiasi gani, wewe ndio mwenyewe.
Kikubwa uchape kazi kwa uadilifu mkubwa ili uweze kuokoa maisha ya jamii yetu.
Sisi tunaendelea na subiri na one day yes.
Siwez tumia nguvu kuelezea mm sio yey coz ww upo kwenye situation ya msemo hu.Hata kama ukatae kiasi gani, wewe ndio mwenyewe.
Kikubwa uchape kazi kwa uadilifu mkubwa ili uweze kuokoa maisha ya jamii yetu.
Sisi tunaendelea na subiri na one day yes.